Labda mzuri wa sura....kwa aina ya washambuliaji wa azam asubiri Ngoma awe majeruhi labda vinginevyo mabonanza yanamsubiriMbaraka Yusuph majeruhi ndiyo yamefanya asionekane.
Ila bado mzuri.
Sasa Ngoma na Mbaraka si wale wale.Labda mzuri wa sura....kwa aina ya washambuliaji wa azam asubiri Ngoma awe majeruhi labda vinginevyo mabonanza yanamsubiri
Vijana wanaoandaliwa kwenye under twenty ya Simba wasiwe wanahama kwa masimango pale msimbazi.Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.
Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa habari ni tofauti. Mbaraka amepotea kabisa, ile fomu yake haipo tena, mbaya zaidi watu wameanza kumsahau taratibu.
Je ni nini kimemsibu mshambuliaji huyu matata?
Mkuu Ahsante. Na watu hawajui tu, pale Azam kuna ushindani mkubwa wa namba!Mbaraka Yusuph majeruhi ndiyo yamefanya asionekane.
Ila bado mzuri.
Domayo ni injuries, yupo South Africa matibabu! Singano alipotea kwa kocha Mromania, huyu Hans anamtumia! Fuatilia mechi za Azam. Mbaraka Yusuf ndio ametoka injuries, bado hajawa fit kiivo!Azam sio klabu nzuri kuendeleza wachezaji
Frank Domayo
Ramadhan Singano
Mbaraka Yusuph
Domayo ni injuries, yupo South Africa matibabu! Singano alipotea kwa kocha Mromania, huyu Hans anamtumia! Fuatilia mechi za Azam. Mbaraka Yusuf ndio ametoka injuries, bado hajawa fit kiivo!
Ktk timu za TPL, hakuna timu ina mfumo bora wa kulea vipaji zaidi ya Azam. Labda km una chuki!
Ktk timu za TPL, zaidi ya nusu ya timu zina wachezaji wamewahi kupitia Azam Fc.
Taifa Stars kliocheza na Uganda, kikosi kilichoitwa na Amunike kilikuwa na wachezaji around 10 profile zao zinaitaja Azam!
1. Aishi Manula
2. Farid
3. Shaban Iddy
4. Aggrey
5. Mwantika
6. Himid
7. Domayo
8. Mudathir
9.Gadiel Michael
Kiukweli Azam ina mchango mkubwa Ktk soka la Tanzania!
UpuuzDomayo ni injuries, yupo South Africa matibabu! Singano alipotea kwa kocha Mromania, huyu Hans anamtumia! Fuatilia mechi za Azam. Mbaraka Yusuf ndio ametoka injuries, bado hajawa fit kiivo!
Ktk timu za TPL, hakuna timu ina mfumo bora wa kulea vipaji zaidi ya Azam. Labda km una chuki!
Ktk timu za TPL, zaidi ya nusu ya timu zina wachezaji wamewahi kupitia Azam Fc.
Taifa Stars kliocheza na Uganda, kikosi kilichoitwa na Amunike kilikuwa na wachezaji around 10 profile zao zinaitaja Azam!
1. Aishi Manula
2. Farid
3. Shaban Iddy
4. Aggrey
5. Mwantika
6. Himid
7. Domayo
8. Mudathir
9.Gadiel Michael
Kiukweli Azam ina mchango mkubwa Ktk soka la Tanzania!
huyo ni majanga........Frank Domayo yuko Azam miaka 4 sasa lakini hajawahi kufikia level ambayo alikuwa nayo akiwa Yanga
Singano nae ana miaka 3 lakini hajawahi kufikia level aliyokuwa nayo Simba.Mbaraka alisajiliwa na Azam kabla ya Ngoma,Lyanga,Kipagire na lengo lilikuwa kuziba pengo la Bocco lakini ameshindwa ndio maana imebidi Azam wanunue striker wengine
Kuendeleza kipaji maana yake ku-maintain level au kuongezeka kwa kiwango cha mchezaji sasa hao wote niliokutajia wanarudi nyuma.I think umeona wachezaji kama Mafisango au Kapombe jinsi viwango vilivyoongezeka baada ya kutoka Azam na kuhamia Simba
Frank Domayo yuko Azam miaka 4 sasa lakini hajawahi kufikia level ambayo alikuwa nayo akiwa Yanga
Singano nae ana miaka 3 lakini hajawahi kufikia level aliyokuwa nayo Simba.Mbaraka alisajiliwa na Azam kabla ya Ngoma,Lyanga,Kipagire na lengo lilikuwa kuziba pengo la Bocco lakini ameshindwa ndio maana imebidi Azam wanunue striker wengine
Kuendeleza kipaji maana yake ku-maintain level au kuongezeka kwa kiwango cha mchezaji sasa hao wote niliokutajia wanarudi nyuma.I think umeona wachezaji kama Mafisango au Kapombe jinsi viwango vilivyoongezeka baada ya kutoka Azam na kuhamia Simba
Unaifahamu misumali ?Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.
Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa habari ni tofauti. Mbaraka amepotea kabisa, ile fomu yake haipo tena, mbaya zaidi watu wameanza kumsahau taratibu.
Je ni nini kimemsibu mshambuliaji huyu matata?
Huu sasa uchawi!! Yaan simba mnaichukulia km timu kutoka sayari ya mars!!kwamba mchezaji akikataa kuichezea basi lazima afulie!Vijana wanaoandaliwa kwenye under twenty ya Simba wasiwe wanahama kwa masimango pale msimbazi.
Huyu dogo aligoma kurudi nyumbani akahamia kwa jirani yanayomkuta kila mtu anajua.
Hata singano alifanya hivyo hivyo yaliyomkuta pia anajua.
Hassan Isihaka nae aliondoka kwa masimango ndani ya miaka mitatu amecheza vilabu vitatu tofauti hii ni laana
Wawe wanaondoka kwa heshima tu bila masimango
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa simba na yanga zipo overrated! Mchezaji akiwa simba na yanga hta km ana kiwango cha kawaida tu! Basi ataonekana bonge la mchezaji, na isitoshe ukiwa unachezea simba na yanga unakuwa midomoni na machoni mwa watu wengi. Sasa ukienda timu km azam yenye washabiki wachache unakuwa huskiki km ukiwa simba na yanga.....kwangu mimi singano na domayo ni wale wale sema tatizo ni kwakuwa wanachezea azamFrank Domayo yuko Azam miaka 4 sasa lakini hajawahi kufikia level ambayo alikuwa nayo akiwa Yanga