Nini kimemkuta Mbaraka Yusuf wa Azam Fc

Nini kimemkuta Mbaraka Yusuf wa Azam Fc

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
10,962
Reaction score
7,830
Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.

Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa habari ni tofauti. Mbaraka amepotea kabisa, ile fomu yake haipo tena, mbaya zaidi watu wameanza kumsahau taratibu.

Je ni nini kimemsibu mshambuliaji huyu matata?
 
Vijana wanaoandaliwa kwenye under twenty ya Simba wasiwe wanahama kwa masimango pale msimbazi.
Huyu dogo aligoma kurudi nyumbani akahamia kwa jirani yanayomkuta kila mtu anajua.
Hata singano alifanya hivyo hivyo yaliyomkuta pia anajua.
Hassan Isihaka nae aliondoka kwa masimango ndani ya miaka mitatu amecheza vilabu vitatu tofauti hii ni laana

Wawe wanaondoka kwa heshima tu bila masimango
 
Azam sio klabu nzuri kuendeleza wachezaji
Frank Domayo
Ramadhan Singano
Mbaraka Yusuph
 
Mbaraka Yusuph majeruhi ndiyo yamefanya asionekane.

Ila bado mzuri.
Mkuu Ahsante. Na watu hawajui tu, pale Azam kuna ushindani mkubwa wa namba!

Yule kocha mromania hakumuelewa kabisa Ramadhani Singano "Messi", lakini amekuja Hams anamuelewa na anampanga!

Ile namba ya Mbaraka Yusuf ina watu wengi sana wana uwezo, kuanzia Ngoma, Zaidi, Kipagwire, Danny Lyanga kwa kutaja wachache!
 
Azam sio klabu nzuri kuendeleza wachezaji
Frank Domayo
Ramadhan Singano
Mbaraka Yusuph
Domayo ni injuries, yupo South Africa matibabu! Singano alipotea kwa kocha Mromania, huyu Hans anamtumia! Fuatilia mechi za Azam. Mbaraka Yusuf ndio ametoka injuries, bado hajawa fit kiivo!

Ktk timu za TPL, hakuna timu ina mfumo bora wa kulea vipaji zaidi ya Azam. Labda km una chuki!

Ktk timu za TPL, zaidi ya nusu ya timu zina wachezaji wamewahi kupitia Azam Fc.

Taifa Stars kliocheza na Uganda, kikosi kilichoitwa na Amunike kilikuwa na wachezaji around 10 profile zao zinaitaja Azam!

1. Aishi Manula
2. Farid
3. Shaban Iddy
4. Aggrey
5. Mwantika
6. Himid
7. Domayo
8. Mudathir
9.Gadiel Michael

Kiukweli Azam ina mchango mkubwa Ktk soka la Tanzania!
 
Frank Domayo yuko Azam miaka 4 sasa lakini hajawahi kufikia level ambayo alikuwa nayo akiwa Yanga
Singano nae ana miaka 3 lakini hajawahi kufikia level aliyokuwa nayo Simba.Mbaraka alisajiliwa na Azam kabla ya Ngoma,Lyanga,Kipagire na lengo lilikuwa kuziba pengo la Bocco lakini ameshindwa ndio maana imebidi Azam wanunue striker wengine

Kuendeleza kipaji maana yake ku-maintain level au kuongezeka kwa kiwango cha mchezaji sasa hao wote niliokutajia wanarudi nyuma.I think umeona wachezaji kama Mafisango au Kapombe jinsi viwango vilivyoongezeka baada ya kutoka Azam na kuhamia Simba
 
Upuuz
 
huyo ni majanga........
 
Mchezaji ni mzuri akiwa Simba ama Yanga.... akihama mbaya na hafai tena! Hassan Kessy! Haruna Niyonzima! Said Bahanuzi! Zahoro Pazi! Manyika Peter Jr! Youth Rostand! Hassan Dilunga (Mtibwa - Yanga, Yanga - Mtibwa, na sasa Simba) Ame Ally, Shaban Nditi! Juma Nyosso! Hawa wote wamehusika na Timu za Kariakoo, kwa kipindi flani cha soka lao, nadhani hawa ni mf mzuri wa namna gani timu za Kariakoo zinakuza vipaji!
 
Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.

Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa habari ni tofauti. Mbaraka amepotea kabisa, ile fomu yake haipo tena, mbaya zaidi watu wameanza kumsahau taratibu.

Je ni nini kimemsibu mshambuliaji huyu matata?
Unaifahamu misumali ?
 
Vijana wanaoandaliwa kwenye under twenty ya Simba wasiwe wanahama kwa masimango pale msimbazi.
Huyu dogo aligoma kurudi nyumbani akahamia kwa jirani yanayomkuta kila mtu anajua.
Hata singano alifanya hivyo hivyo yaliyomkuta pia anajua.
Hassan Isihaka nae aliondoka kwa masimango ndani ya miaka mitatu amecheza vilabu vitatu tofauti hii ni laana

Wawe wanaondoka kwa heshima tu bila masimango
Huu sasa uchawi!! Yaan simba mnaichukulia km timu kutoka sayari ya mars!!kwamba mchezaji akikataa kuichezea basi lazima afulie!
 
Frank Domayo yuko Azam miaka 4 sasa lakini hajawahi kufikia level ambayo alikuwa nayo akiwa Yanga
Singano nae ana miaka 3 lakini hajawahi kufikia level aliyokuwa nayo Simba.Mbaraka alisajiliwa na Azam kabla ya Ngoma,Lyanga,Kipagire na lengo lilikuwa kuziba pengo la Bocco lakini ameshindwa ndio maana imebidi Azam wanunue striker wengine

Kuendeleza kipaji maana yake ku-maintain level au kuongezeka kwa kiwango cha mchezaji sasa hao wote niliokutajia wanarudi nyuma.I think umeona wachezaji kama Mafisango au Kapombe jinsi viwango vilivyoongezeka baada ya kutoka Azam na kuhamia Simba
Unachoshindwa kuelewa ni kuwa simba na yanga zipo overrated! Mchezaji akiwa simba na yanga hta km ana kiwango cha kawaida tu! Basi ataonekana bonge la mchezaji, na isitoshe ukiwa unachezea simba na yanga unakuwa midomoni na machoni mwa watu wengi. Sasa ukienda timu km azam yenye washabiki wachache unakuwa huskiki km ukiwa simba na yanga.....kwangu mimi singano na domayo ni wale wale sema tatizo ni kwakuwa wanachezea azam
 
Back
Top Bottom