Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Huyu mshambuliaji huyu wa Azam Fc ambaye wakati anatoka Kagera Sugar alikuwa wa moto sana, hadi akawa hakosekani timu ya taifa.
Wengi tulimtabiria makubwa baada ya kutua Azam Fc, lakini sasa habari ni tofauti. Mbaraka amepotea kabisa, ile fomu yake haipo tena, mbaya zaidi watu wameanza kumsahau taratibu.
Je ni nini kimemsibu mshambuliaji huyu matata?