Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Huyu Dogo ilikuwa lazima aondolewe,kwasababu tayari kulikuwa na maneno ambayo si mazuri kwa mteule.

Ziliwahi kusikika hoja kwamba yeye na Majaliwa ndio waliokuwa wameshikilia masuala yote ya ulinzi na usalama.

Hata Tundu Lissu aliwahi kutamka hadharani,sasa ukiweka na hili kachukua Binti wa Bi Mkubwa nadhani ni uamuzi mzuri kuondoa makando kando.
 
Andenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.

Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole


Mhagama mpole?
 
Andenda kumdhibiti msemaji wa serikali, pia hyo wizara haina skendo na huenda manjagu alikuwa hawaheshm wakaomba aondolewe.

Manjagu wamepelekewa mhagama mpole, tax mpole na masauni mpole
Ukielewa landscape hii basi jua kabisa Tanzania huwa inashinda kila inapoitwa leo
 
Ameonyesha uwezo mzuri kwenye Wizara aliyopewa mara ya kwanza kabisa kuiongoza na ndio maana wizara hii mpya ya Sanaa, utamaduni na Michezo nayo ni mpya hivyo yawezekana Rais ana maana yake .

Angeweza kumpa kokote Ila amempeleka kama Waziri kamili anajua pale hakuna kelele sana apumzike ale kimya.

Hata ingekuwa mimi ningefurahi kupelekwa kwenye michezo kwanza panakuweka karibu na wananchi kupitia michezo yaani unakutana na watu wakiwa kwenye raha tupu ni fulu kuwapa shangwe unajipatia umaarufu bila jasho.

Huko kwenye mambo magumu utakutana na majungu kila siku. Hapo anakula kimyakimya na mshahara ni wa Waziri hauna presha.

Hata madili yapo Kuna ujenzi wa viwanja vya watoto, Makumbusho nk hizo ni deal hazina presha hakuna atakayelalamika kuhusu tozo.
 
Kutoka wizara nyeti ya Utawala Bora na Utumishi wa Umma mpaka Wizara ya Michezo? Nini kimemkuta waziri huyu kutoka royal family?
Kuondoa au kupunguza kelele za "amemweka mkwe wake pale"

Hata Magu angewezaga tu kumtoa mpwa wake Dotto Biteko pale Fedha kama PayMaster ili kuondoa kelele zile tunazozikumbuka sana...

Lakini yule mzee alikuwa kichwa ngumu kweli na ndiyo akajiita "JIWE..!"
 
Back
Top Bottom