Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Yaani wabongo
Ameonyesha uwezo mzuri kwenye Wizara aliyopewa mara ya kwanza kabisa kuiongoza na ndio maana wizara hii mpya ya Sanaa, utamaduni na Michezo nayo ni mpya hivyo yawezekana Rais ana maana yake .

Angeweza kumpa kokote Ila amempeleka kama Waziri kamili anajua pale hakuna kelele sana apumzike ale kimya.

Hata ingekuwa mimi ningefurahi kupelekwa kwenye michezo kwanza panakuweka karibu na wananchi kupitia michezo yaani unakutana na watu wakiwa kwenye raha tupu ni fulu kuwapa shangwe unajipatia umaarufu bila jasho.

Huko kwenye mambo magumu utakutana na majungu kila siku. Hapo anakula kimyakimya na mshahara ni wa Waziri hauna presha.

Hata madili yapo Kuna ujenzi wa viwanja vya watoto, Makumbusho nk hizo ni deal hazina presha hakuna atakayelalamika kuhusu tozo.
wabongoWengi wanaamini Uteuzi wowote ule ni kwa ajili ya Ulaji tu !! Na mtumishi akijilimbikizia Mali nyingi kuliko halali yake anaitwa mjanja !! Kazi kweli kweli !!
 
Sema alinifurahisha baada tu ya kuona mjomba kafa akaomba radhi uma chap!


Kwani kuomba msamaha ndio kusamehewa?

Kuomba msamaha ni swala moja na watu kuridhia kukusamehe ni jambo lingine.

Yani mtu afanye makosa ya makusudi halafu ajisemee moyoni nitakuja kuwaomba msamaha?!

Kwani ameumiza wangapi?

Je wataponaje ?

Hata hivyo kwenye records michwani mwa watu wameshamjua ni mtu wa aina gani na hiyo kufutika ni ngumu!
 
Naeza kuamini! Niongezee nyama kidogo bas! Ila nachojua jamaa ni mshirikina na ni jeuri atar! Maskin wanou mpoleee japo kawivu kamelala pale lakini ni mtu wa kurizika tu, ila na wanou si aliolewa akaachika?
Huyo Wanu naye mbona ni mama mtu mzima?
 
Biteko naye ni ndugu pia( ni mnyarwanda na ndiye aliyetoa masaa apewe Uraia kabla ya kumteua kuwa waziri na ikawa sababu ya Mkubwa mmoja uhamiaji kutumbuliwa) ,hata Kalemani ni ndugu pia
Wachaaaaa?
 
Back
Top Bottom