Hajawahi kuwa ofisi ya Waziri mkuu ever since, namfahamu toka tunamaliza shule Iringa huko na mpaka tunaajiriwa yeye akapata kazi ya uhakimu akapangiwa kitio Mbeya mjini .
In short amepanda akiwa judiciary mpaka akawa Katibu wa Jaji Kiongozi (JK) then nadhani uTISS ailupata kabla ya kuwa Hakimu sababu alipotea mwaka mzima wakati sisi tunajoin University.
Thereafter akajoin Makerere University ndio aliporudi akakuta Kuna recruitment ya mahakimu wenye degree by then walikuwa wanafanya mabadiliko ya judiciary wale wasio na degree wabaki Mahakama ya mwanzo.
Akaacha kazi judiciary 2015 akaingia jimboni rufiji akamng'oa jamaa alikuwaga waziri wa afya mwarabu fulani hivi.
Amepambana na hiyo dini anayo ever since hata mie baba yake ni muumini mzuri tu.
Huyo binti kakutana nae hukohuko kwenye siasa na kwa taarifa tu ni mke wa tatu huyo sio wa kwanza na wameoana hata kabla mama hajawa Rais.
Mengineyo ya kuhama wizara mama ndio anajua yawezekana ni kuhusu hao TISS kweli lakini why should we speculate itakuwa tunapoteza muda Cha muhimu ni Waziri Tena wizara isiyo na presha za wanajeshi mshahara ni uleule tu wa Waziri.