Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Nini kimemkuta Waziri Mchengerwa?

Kuondoa au kupunguza kelele za "amemweka mkwe wake pale"

Hata Magu angewezaga tu kumtoa mpwa wake Dotto Biteko pale Fedha kama PayMaster ili kuondoa kelele zile tunazozikumbuka sana...

Lakini yule mzee alikuwa kichwa ngumu kweli na ndiyo akajiita "JIWE..!"
Kama ni satire sawa,ila yule ni Dotto James nduguye Hery James.Dotto Biteko ni mwingine
 
Mara 1000 ya mchengelwa kuliko Mhagama sijawahi ona jipya au tija popote alipo.
Kwa mda mfupi mchengelwa watumishi wamemuelewa kaleta mabadiliko.
Mama mrudishe Mchengelwa utumishi tumeona Kazi yake hatujali kuhusu ukwe tunaangalia Kazi yake.
Mhagama apelekwe Kazi zilizopoa mfano u speaker wa bunge unamfaa.
 
Akiwa nyumbani alijaribu kumpiga mtoto wa mama kwhyo mtoto kaenda kushtaki kwa mama yake Ikulu na mama kampa Mchengerwa last warning na kumuondoka katika wizara ya karibu na yeye
Hivi mama si ana binti moja au sio. Na moja ya picha zimetrend wiki hii zinaonyesha kijana wa Dr. Shein kaoa binti wa mama?
 
Ameonyesha uwezo mzuri kwenye Wizara aliyopewa mara ya kwanza kabisa kuiongoza na ndio maana wizara hii mpya ya Sanaa, utamaduni na Michezo nayo ni mpya hivyo yawezekana Rais ana maana yake .

Angeweza kumpa kokote Ila amempeleka kama Waziri kamili anajua pale hakuna kelele sana apumzike ale kimya.

Hata ingekuwa mimi ningefurahi kupelekwa kwenye michezo kwanza panakuweka karibu na wananchi kupitia michezo yaani unakutana na watu wakiwa kwenye raha tupu ni fulu kuwapa shangwe unajipatia umaarufu bila jasho.

Huko kwenye mambo magumu utakutana na majungu kila siku. Hapo anakula kimyakimya na mshahara ni wa Waziri hauna presha.

Hata madili yapo Kuna ujenzi wa viwanja vya watoto, Makumbusho nk hizo ni deal hazina presha hakuna atakayelalamika kuhusu tozo.
Hii wizara bora angepewa makamu wa rais, sioni kazi zake au ingekuwa idara tu kwenye wizara ya elimu.
 
Hii wizara bora angepewa makamu wa rais, sioni kazi zake au ingekuwa idara tu kwenye wizara ya elimu.
Ni sababu hatujaweka kipaumbele kwenye michezo kama moja ya sekta kubwa inayochangia mapato na kama sekta inayoweza kunyanyua sekta nyingine Kama utalii wa kimichezo, cultural tourism etc.
 
Alimwingiza Mama mkenge

Kwamba wanaushahidi mzito dhidi ya Mbowe.

Mpaka sasa kidhibiti muhimu ni Shangazi kaja.

Majaji wameibeba Jamhuri imefika mahali wamechoka.
Lile shangazi kaja pia jaji alilikata kulipokea😂😂😂
 
Alikuwa haelewani na TISS jamaa hakuwa na maadili ya kazi TISS walikuwa wanalalamika sana hakuweza kuwasaidia. Kifupi hiyo wizara imemfaa sana muache akate viuno mtoto wa kibiti.
Mbona nilisikia hata yeye ni tiss? Na alikua kwenye kitengo cha waziri mkuu kipindi kile wanamfundisha dini cjui?
 
Back
Top Bottom