Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Mmeshaanza kutupanga mapema kabisa yale ya Malechela naona yanajirudia Mzee jumanne.Makamba ni muislamu tangu lini? Mzee Makamba umewahi kumuona msikitini?
By the way mama yake January Makamba ni Mkristo Mkatoliki, kwahiyo si kwamba anabadili dini Bali kubatizwa na kuishi kwenye imani ya Ukristo.