uwe hodari
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 4,045
- 8,608
Jamaa The Boss kasema JM ni Mkristu nimemwambia sio kweli
[emoji3578]
Itapendeza sana hata kama Mimi sina chamaHuyu mama ndio Rais wa mwisho kutokea Ccm, endeleeni kujizima data tu.
Mo anaona wivu,Barbara siku hizi ni mke wa January Makamba. Mo si alikuwa danga la Barbara. Sasa Mo amelipiza kisasi kwa Barbara. Hajampa mikwanja. Kuchapiwa kubaya nyie.
Aisee hatari sii mchezo mbususu balaa tupuMo anaona wivu,Barbara siku hizi ni mke wa January Makamba. Mo si alikuwa danga la Barbara. Sasa Mo amelipiza kisasi kwa Barbara. Hajampa mikwanja. Kuchapiwa kubaya nyie.
Hahahaha, mark my words.Yule anatembeza pesa.Yaani wakipeleka tu jina lake kwenye yale majina 5 baasi.Labda wamfanyie kama Lowassa.Mwigulu kamnunua mpaka Kigogo,Mange Kimambi.
Duh..Kwamba J ndio kazaa nae, halafu Mo hawezi kufikia kuhonga mtonyo ambao J anaweza kumpa maana wizaran pale wanachota tu pesa haina hesabu
Yes mkewe wa kwanza ni mkristo, mama January pia ni mkristo. Ila January na mkewe wa pili (Barbara) ni waislamu.Upo sahihi January ni Muislam niliisha faitilia maelezo yake Insta aliandika , aliwahi kuishi na bibi yake mkoani Kagera vijijini akiwa mdogo tu kwa umri na akikumbukia kisa cha Muislam mmoja aliekuwa anatafutwa na bibi yake mzaa mama (Mkristo) achinje kuku kwa sababu January alitakiwa kula nyama/kuku aliechinjwa kwa misingi ya imani yake ya Kiislam na akasema cha kuchekesha mchinjaji anaenda kutafutwa afu akipatikana anakuwa ameisha kunywa pombe kama hajitambui
January ni Muislam, labda abadili kwa sababu hizo za kisiasa , ila mkewe wanasema ni Mkristo na mama yake mzazi pia
AiseeAlly Kamwe anasema kuwa eti hiyo ni mind games ya kuwapumbuza Wana Yanga wawe bize Ili wapoteze umakini wa kusajiri
January hajawahi kuwa mwislamu, hata baba yake Mzee Makamba siyo mwislamu.
Ukweli huu haumpi sifa yoyote ya Urais.
Kigogo2014 anamtukana sana January siku hizi na huku akimsifia Mwigulu.Kigogo ni January ananuliwaje wakati ni mahasimu wanachekeana kinafki
Na wewe unatoaga boko
AiseeYes mkewe wa kwanza ni mkristo, mama January pia ni mkristo. Ila January na mkewe wa pili (Barbara) ni waislamu.
Huyo nae kupoteza mvutoKigogo2014 anamtukana sana January siku hizi na huku akimsifia Mwigulu.
Kwa nini suala la dini mnalileta kwa mama badala ya baba yake?Mumewahi kumuona akiingia msikitini?! January mama yake ni mnaswara na jina la January pia linaasili ya nchi za magharibi mwa Dunia. Sasa huo uislamu wa January ni uislamu wa kufikirika.
Inawezekan Kweli mm cjawai kuona akiangaika na waislamu angalabu amefah kanzu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kalipwa na Mwigulu.Anamsifia Mwigulu na Samia .Huyo nae kupoteza mvuto
Kigogo2014 anamtukana sana January siku hizi na huku akimsifia Mwigulu.
Noted: kabla huja-editmama yake ni mnaswara
Nakumbuka mwezi wa ramadhani iliyopita Raisi William Ruto na makamu wa raisi wa Kenya jina lake ni gumu Huwa linanishinda kutamka na kuandika waliingia msikitini na kushiriki swala ya magharibi na waislamu muda mfupi kabla ya futari lakini haimaanishi kuwa kwa kiingia msikitini tayari ni waislamu.Ila umemuona akiingia kanisani?View attachment 2689125
Kalipwa na Mwigulu.Anamsifia Mwigulu na Samia .