Baraza la Eid anaingia yeyote maana huwa mgeni mwalikwa ila kwenda kuswali Eid ni lazima awe muislamu.Wanasiasa kwenye malengo yao huwa wanaingia popote.
Na hawa masheikh kwenye mambo ya duwa ndio wenyewe.
Kwahiyo hapo bado haujathibitisha uislamu wa January Makamba.
Au na Mimi nikuletee Picha ya Mlutheran Freeman Mbowe akiwa katika baraza la Idd ametinga kanzu koti na baraghashia?
Baraza la Eid anaingia yeyote maana huwa mgeni mwalikwa ila kwenda kuswali Eid ni lazima awe muislamu.
Si kila asiyeenda kanisani kuwa maana yake ni muislamu wengine ni akina KINGUNGE NGOBARE MWIRU.Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?
Kwani CCM wote akili zenu ndio zipo hivi? samahani lakini mkuuMakamba nimemsamehe dhambi zake kwa kuweza kuoa hilo toto lenye akili nyingi sana. Huwa nakaa natafakari toto jeupe kama lile lenye akili zake lililokulia ushuani linaamua kukuvulia kwa hiari yake sipati picha. MAKAMBA FOR PRESIDENT 2030.
kama kweli ni hili huu uroho wa madaraka kw moh unaingiajeMo anaona wivu,Barbara siku hizi ni mke wa January Makamba. Mo si alikuwa danga la Barbara. Sasa Mo amelipiza kisasi kwa Barbara. Hajampa mikwanja. Kuchapiwa kubaya nyie.
Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.Kwa nini suala la dini mnalileta kwa mama badala ya baba yake?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Una ndoto za kisefengee wewe jamaaMakamba nimemsamehe dhambi zake kwa kuweza kuoa hilo toto lenye akili nyingi sana. Huwa nakaa natafakari toto jeupe kama lile lenye akili zake lililokulia ushuani linaamua kukuvulia kwa hiari yake sipati picha. MAKAMBA FOR PRESIDENT 2030.
Huyo ndio think tank la Lumumba.Kwani CCM wote akili zenu ndio zipo hivi? samahani lakini mkuu
Hakuna majina ya kiislamu.Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.
Sawa ataongezewa Ila ni Kwenye Game Ila sio kwenye Maisha halisiKatiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Unaweza kuthibitisha haya uliyosema?!Mo anaona wivu,Barbara siku hizi ni mke wa January Makamba. Mo si alikuwa danga la Barbara. Sasa Mo amelipiza kisasi kwa Barbara. Hajampa mikwanja. Kuchapiwa kubaya nyie.
Msome January mwenyeweHadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.
Ukilaza wako peleka Kampala university.Unaweza kuthibitisha haya uliyosema?!
January alipokuwa mdogo alikuwa anaamini baba yake ni mwislamu kumbe siyo mwislamu.
Naomba tuwasiliane PM. Tafadhali mama!Nina Imani hiyo. Yes I have faith. In God I trust. 2030 will be here. YES I WILL BE HERE.
January ni vile alizaliwa mwezi January.January alipokuwa mdogo alikuwa anaamini baba yake ni mwislamu kumbe siyo mwislamu.
Muulize January kasoma madrasa gani na ni kwa nini atimizi nguzo ya Uislamu kwenda Hija na uwezo anao?
Mwislamu wa Tanzania hawezi kumuita mtoto wake January, Never.
NjooNaomba tuwasiliane PM. Tafadhali mama!