Nini kimempata CEO wa zamani wa Simba Barbra Gonzalez?

Wanasiasa kwenye malengo yao huwa wanaingia popote.

Na hawa masheikh kwenye mambo ya duwa ndio wenyewe.

Kwahiyo hapo bado haujathibitisha uislamu wa January Makamba.

Au na Mimi nikuletee Picha ya Mlutheran Freeman Mbowe akiwa katika baraza la Idd ametinga kanzu koti na baraghashia?
Baraza la Eid anaingia yeyote maana huwa mgeni mwalikwa ila kwenda kuswali Eid ni lazima awe muislamu.
 
Usinichoshe,hapo ni ndani ya msikiti ?Anaswali Eid.?Halafu huyu Kanisani huwa anakwenda January anasali kanisa gani?
Si kila asiyeenda kanisani kuwa maana yake ni muislamu wengine ni akina KINGUNGE NGOBARE MWIRU.
Wapo kotekote na uislamu hauruhusu muislamu kuwa kotekote.
Tutosheke kujua kwamba mama yake January ni mkristo halisi muhaya wa kule Kyaka wilaya ya misenyi mkoani Kagera.
Mzee makamba asili yake ni muislamu ila Kuna watoto wake wamefuata dini ya mama Yao ikiwa pamoja na huyu January. Na familia ya Mzee makamba hata wale wanaofuta dini yao ya asili bado uislamu wao ni ule uislamu wa kuonekana siku ya Eid , kwenye ndoa na kwenye misiba zaidi ya hapo hawana uislamu wowote.
 
Makamba nimemsamehe dhambi zake kwa kuweza kuoa hilo toto lenye akili nyingi sana. Huwa nakaa natafakari toto jeupe kama lile lenye akili zake lililokulia ushuani linaamua kukuvulia kwa hiari yake sipati picha. MAKAMBA FOR PRESIDENT 2030.
Kwani CCM wote akili zenu ndio zipo hivi? samahani lakini mkuu
 
Km kw
Mo anaona wivu,Barbara siku hizi ni mke wa January Makamba. Mo si alikuwa danga la Barbara. Sasa Mo amelipiza kisasi kwa Barbara. Hajampa mikwanja. Kuchapiwa kubaya nyie.
kama kweli ni hili huu uroho wa madaraka kw moh unaingiaje
 
Kwa nini suala la dini mnalileta kwa mama badala ya baba yake?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.
 
Makamba nimemsamehe dhambi zake kwa kuweza kuoa hilo toto lenye akili nyingi sana. Huwa nakaa natafakari toto jeupe kama lile lenye akili zake lililokulia ushuani linaamua kukuvulia kwa hiari yake sipati picha. MAKAMBA FOR PRESIDENT 2030.
Una ndoto za kisefengee wewe jamaa
 
Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.
Hakuna majina ya kiislamu.
 
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
Sawa ataongezewa Ila ni Kwenye Game Ila sio kwenye Maisha halisi
 
Hakuna majina ya kiislamu.
20230715_192509.jpg
20230715_192319.jpg

Msome January hapo
 
Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.
Msome January mwenyewe
20230715_192509.jpg
20230715_192319.jpg
 
January alipokuwa mdogo alikuwa anaamini baba yake ni mwislamu kumbe siyo mwislamu.

Muulize January kasoma madrasa gani na ni kwa nini atimizi nguzo ya Uislamu kwenda Hija na uwezo anao?

Mwislamu wa Tanzania hawezi kumuita mtoto wake January, Never.
January ni vile alizaliwa mwezi January.
 
Back
Top Bottom