Hadi dakika hii hapa Tanzania hakuna ndoa sahihi kati ya muislamu na mkristo.
Mimi kwa madhehebu yangu muislamu anaruhusiwa kumuoa mwanamke mnaswara au myahudi lakini Kuna mashariti ambayo hayatekelezeki katika nchi isiyotawaliwa kwa sharia za kiislamu.
Kwahiyo kwa hapa Tanzania mtoto aliyezaliwa na wazazi wa dini tafauti NI MTOTO WA ZINAA na mtoto wa Zinaa ni mtoto wa mama kwahiyo dini ya mama yake ndiyo dini yake Hadi atakapoamua kuikataa mwenyewe na kufuata dini nyingine.
Lakini pia ni wazi kwamba LAU MAMA JANUARY ANGEKUWA MUISLAMU ASINGEMWITA MWANAE JINA LA KIZUNGU wakati majina ya kiislamu yanajulikana.