Nini kimempata Lawrence Masha kufikia kuzunguka nyumba za ibada?

Nini kimempata Lawrence Masha kufikia kuzunguka nyumba za ibada?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
IMG_3302.jpeg
Aliyekuwa Waziri Wa Mambo ya Ndani kipindi cha JK, Lawrence Kingo Masha anazunguka Makanisani walau aweze kupata msaada wa kimawazo, nini kimetokea ? Hana watu sahihi wa kumsaidia kati ya waliomzunguka?
 
View attachment 3050595
aliekua Waziri Wa Mambo ya Ndani kipindi cha Jk, Lawrence Kingo Masha ana zunguka Makanisani walau aweze kupata Msaada wa Kimawazo, nini kimetokea ? Hana watu sahihi wa kumsaidia kati ya waliomzunguka ?
Hii ndio sababu wanaccm karibia wote huabudu vyeo, wanajua nje ya madaraka wanaweza kuwa 🌈 wote.
 
View attachment 3050595
aliekua Waziri Wa Mambo ya Ndani kipindi cha Jk, Lawrence Kingo Masha ana zunguka Makanisani walau aweze kupata Msaada wa Kimawazo, nini kimetokea ? Hana watu sahihi wa kumsaidia kati ya waliomzunguka ?
Hayo ndo maisha kila mtu ana zamu yake, unafikia hatua unakosa mtu sahihi wa kuamini kabisa, jnaona aliens ni bora kuliko ulio nao urafiki.
 
Masha alikua bonge la brazamen... enzi hizo tuko sekondari yeye ni waziri wa nishati vile....mtanashati nadhifu..anaongea kiswanglish...mtoto kutoka familia bora ..sijui nini kimempata...
Nimeona video yake eti yuko kwa yule mganga sijui nabii kiboko ya wachawi..anaambiwa mke wake ndo mbaya wake imajini😇😇😇😇😇🙄
 
Nape akiona watu kama kina Masha anazidi kuchanganyikiwa alafu mnakumbuka huyu Masha alipotumbuliwa aling"oa hadi vitasa vya milango ya ofisi yake akidai amenunua kwa hela yake?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na shekh wa dasalama alingoa mpaka viyoyozi na mifagio ya ofisini [emoji1787][emoji1787]
 
Haya maisha yanatisha mno nilifilisika badala mkewangu anifariji akawa ndio chanzo cha stress kwangu,hata unyumba hakuwa ananipa kutwa kununa tu mawasiliano na michepuko yake hayakuwa siri tena...mwishoni akahamisha kila kitu akarudi kwao na mama yake na ndugu zake wakati nina pesa walikuwa sana wananipigia simu ila baada ya hapo hakuna hata meseji ila nashukuru nimewajua wema na wabaya,kwasasa mambo yamejiseti ila namba moja kwangu ni mama yangu mzazi
 
Masha alikua bonge la brazamen... enzi hizo tuko sekondari yeye ni waziri wa nishati vile....mtanashati nadhifu..anaongea kiswanglish...mtoto kutoka familia bora ..sijui nini kimempata...
Nimeona video yake eti yuko kwa yule mganga sijui nabii kiboko ya wachawi..anaambiwa mke wake ndo mbaya wake imajini😇😇😇😇😇🙄
Yule nabii nae tapeli tu, anafanya ramli chonganishi Sasa je Masha akitoka pale akaenda kumkata panga mkewe?

Yule ipo siku atasababisha majanga makubwa acha serikali iendelee kumchekea tu.
 
Back
Top Bottom