Pamoja na kuchukia mashoga ila kuna mashoga humu kuna saa wana make sense ila wewe una IQ kubwa sana siwez ku argue na wewe.Wakati unasubiri mtoto aliyelawitiwa miaka 20 iliyopita aje awasemee watoto wa sasa, wakati huo wazazi wa watoto wa sasa wako wapi?
Unafananisha uhanga wa kupigwa kwa wanawake na waume zao na ulawiti aliofanyiwa mtoto mdogo hadi akawa gay!!?
Msomi, upo serious kweli?
AmenHakuna mzazi anazaa shoga,ushoga sio asili ni tabia.
Mtu hazaliwwi kuwa shoga bali ukifanya kuwa shoga.
Hakuna chromosomes au vinasaba vya ushoga toka kwa mzazi
Wengi watachomokea kwenye rufaa na hapo ndio tutakapokuwa tumeingia mtegoni mazima. Kama KenyaBora bongo maza kauchuna ila watu wanakula mvua na kuingizwa madole kujua yaliyomo yamo
Busara huwa ni bora kuliko mihemko na jazba za ajabu ajabu kama hizi.Mimi kudharauliwa na mtu wa hovyo kama wewe inanisaidia au inanipunguzia nini? Hao mbwa wenzio unaowaheshimu imewaongezea nini katika maisha yao?
Halafu usininasibishe na hizo jamii za hovyo sijui mangosha na uchafu mwingine.
Kwahiyo kwa hizo dagaa unazokula na mahali pachafu unapolala nawewe unajiona heshima yako kwa watu ina thamani ama? Hahahaha
Hukuelewa nilivyoandika,kuna sehemu niliandika nakudharau au ulijishtukia......nilikuwa namheshimu na nyuzi zake za kuzamia majuu....baada ya hayo maneno kuna neno lingine la kukudharau,yule aliyeiandika kisukuma si ndio kakupa za uso.Mimi huwa sijali sana nani ananichukuliaje zaidi sana hapa husoma mawazo ya watu na kuchangia mada. Sasa nimekujibu wewe uliyesema ulikua unaniheshimu ila umenidharau kwa mchango wangu humu ndipo nami nimekwambia sikuwahi hata kuwaza kina kima ananiheshimu huko.
Mjifunze kufanya analysis za mawazo ya watu kabla ya kurukia kwenye conclusion ndio maana viongozi wenu wanaendesha kama wanyama maana hamna reasoning capacity linapokuja suala la life analysis.
Unajiona ulivyo mjinga? Huyo kima mwenzio anipe mimi za uso? Shughulika kwanza na dhiki zako kabla ya kuparamia usiowajua hapa JF!Busara huwa ni bora kuliko mihemko na jazba za ajabu ajabu kama hizi.
Chief Mkwawa anaheshimika kule jukwaa la Tech ni kutokana na jinsi anavyoishi
Hukuelewa nilivyoandika,kuna sehemu niliandika nakudharau au ulijishtukia......nilikuwa namheshimu na nyuzi zake za kuzamia majuu....baada ya hayo maneno kuna neno lingine la kukudharau,yule aliyeiandika kisukuma si ndio kakupa za uso.
Shoga limefurahi, tutawatafutia dawa mitaani
Museveni katepeta baada ya kupigwa mkwara na MABEBERU YA WASHINGTON.Acheni kukuza, anachotaka ni kuondoa kipengee cha kifo ili wasaidiwe kubadilika sio kuwaua.
Museveni katepeta baada ya kupigwa mkwara na MABEBERU YA WASHINGTON.
We nae kenge kweli, kwan huwezi kuandika ujumbe wako vizuri hadi utoe maneno ya baya kwa Waafrica,akati we mwenyewe Mwafrica, utakuta apo una kidegree kimoja , au umeenda ulaya mara Moja bas ushajiona una exposure ya kufa mtu.Waafrika wengi ni wajinga sana kama wanyama hususani wabongo. Wengi walimsifia Museveni bila kujua nini kilikua kinaendelea Uganda!
Muswada ule haukupelekwq Bungeni na serikali ya Museveni bali ni mbunge mmoja ndie alipeleka mapendekezo hayo kama ambavyo mbunge yeyote anaweza kufanya hapa Tanganyika, baada ya muswada kupita Bungeni ndipo Rais husaini uwe sheria.
Sasa kwakua Muswada ule haukutokea serikalini kinyume na mazwazwa wengi walivyoamini ndipo Museveni kaomba marekebisho kama ilivyotangazwa.
Kuna a very thin line katika uwezo wa kufikiri kati ya mwafrika na mnyama.
Unajuaje mimi ni mwafrika kwa anonymous ID hapa JF? Kima kweli wewe, mtapata lini Akili nyie wanyama?We nae kenge kweli, kwan huwezi kuandika ujumbe wako vizuri hadi utoe maneno ya baya kwa Waafrica,akati we mwenyewe Mwafrica, utakuta apo una kidegree kimoja , au umeenda ulaya mara Moja bas ushajiona una exposure ya kufa mtu.
Mtu mwenyewe yupo hapo kwa ajili ya hao wazungu halafu aende nao kinyume? Huwa tunapambana na hili tatizo kwq mihemko na jazba sana tukifikiria litaondoka kwq kulichukia kwetu lahaaha hii nguvu kubwa inayotumika tungeitumia kukemea rushwa, uasherati, kutelekeza watt wetu, kusengenya nk tungefika mbaliAfrika bila kujitengemea wenyewe kutwa kutegemea misaada na mikopo tutabaki kuburuzwa tu,
Marekani alipiga mkwara ataweka vikwazo vya kiuchumi Uganda lakini walidhani ni bla bla, itakuwa katesti mitambo
KaufyataView attachment 2595606
Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.
Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi museveni amalizie kupitisha muswada huu uwe sheria, ilibaki tu saini ya Rais Museveni kufanya muswada huo uwe sheria, Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha, wala haogopagi chochote kusema hakuna watu wanaomkera kama wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na anatamani wasiwepo kabisa kwa namna yoyote.
La haula!! Museveni kagoma kusaini muswada huo, kaomba upitiwe upya, Museveni tunaemjua huyu au !?
Wabunge walipedekeza muswada huu adhabu za vifungo vya gerezani na kifo kwa wale wanaobaka lakini Museveni kwa sasa kapendekeza kuwe na rehab, rehab ni kama zile sober house za wenye uraibu.
Hakika ni kitu cha kushangaza maana ikumbukwe Raisi huyu alikuwa ni kichwa cha treni kuwa mstari wa mbele kutamani kabisa kuutokomeza ushoga hata kwa mbinu za kimafia , nini kimetokea mpaka kawa hivi ??
Conclusion: Hivi vitu viwe kimya kimya tu kama hapa bongo unawekwa ndani miaka 30 kimya kimya, kwa sasa kupiga kelele kwa wanaotoa misaada ni kutafuta attention unnecessary, ni mwendo wa kimya kimya tu
Mitaani ndio kuzuri, usisahau na wanaojidai vidume sana na kuwaingilia mashoga nao adhabu ni moja. Na kuna wanao waingilia watoto wadogo, hao wakishikwa ni kuua kabisa, maana ndio wanawatengeneza mashoga wa baadae.Shoga limefurahi, tutawatafutia dawa mitaani
Huyu jama na mada zake za kuzamia majuu US,Uk, Germany nilimpa respect kinyama.