Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Inawezekana ila pia inawezekana isiwezekane
Ona huyu babu yako Museven anavyoweweseka baada ya kushughulikiwa na mabeberu.

Urais wake wenyewe uko kwenye mikono ya CIA.

Kinyago cha kuchonga!
Screenshot_20230330-164914.jpg
 
Kwa m7 alivyo na chuki na hawa watu lazima ana plan B ya kimya kimya.
Hana Plan B yoyote huyo dikteta ajuza. Maisha yake yamefika tamati, anasubiri kujifia taratibu.

Tulimuonya humu aache kuonea watu wasio na hatia, lakini akatumia muda wake mwingi madarakani kushindana na mashoga.

Alipaswa kuwa na chuki na umasikini, lakini badala yake ameiacha nchi kwenye dhiki na mahangaiko.

Karata ya mwisho aliyobaki nayo ilikuwa kujikosha kwenye swala la mashoga. Na huko pia mabeberu wamemfyeka.

Kilichobaki anasubiri tu kutwaliwa na mwenyezi Mungu akachomwe moto wa milele jehanamu.
Screenshot_20230330-164914.jpg
 
Ona huyu babu yako Museven anavyoweweseka baada ya kushughulikowa na mabeberu.

Urais wake wenyewe uko kwenye mikono ya CIA.

Kinyago cha kuchonga! View attachment 2595883
Huyu babu yangu m7 sijawahi kumpenda sbb ni katili sana na ndo mana linapokuja suala la kudeal na mashoga sina wasiwas naeKeshawashuhulikia wengi na bado tunamtegemea ataendelea kuwashuhulikia.Sio mjinga huyu.
.Anayoyafanya sirin anayajua mwenyewe.
Huyu suala la kuchukia gays sio la kiki au la msimu miaka yote hawapendi.Gays kibao wa uganga wamekimbilia abroad.Kama wewe ni gay ukimuona m7 anakuchekea anza kulia🤣
 
Waafrika wengi ni wajinga sana kama wanyama hususani wabongo. Wengi walimsifia Museveni bila kujua nini kilikua kinaendelea Uganda!

Muswada ule haukupelekwq Bungeni na serikali ya Museveni bali ni mbunge mmoja ndie alipeleka mapendekezo hayo kama ambavyo mbunge yeyote anaweza kufanya hapa Tanganyika, baada ya muswada kupita Bungeni ndipo Rais husaini uwe sheria.

Sasa kwakua Muswada ule haukutokea serikalini kinyume na mazwazwa wengi walivyoamini ndipo Museveni kaomba marekebisho kama ilivyotangazwa.

Kuna a very thin line katika uwezo wa kufikiri kati ya mwafrika na mnyama.
Tunachofahamu ni waarabu wengi wanafurahia kuliwa nyuma!
 
Hana Plan B yoyote huyo dikteta ajuza. Maisha yake yamefika tamati, anasubiri kujifia taratibu.

Tulimuonya humu aache kuonea watu wasio na hatia, lakini akatumia muda wake mwingi madarakani kushindana na mashoga.

Alipaswa kuwa na chuki na umasikini, lakini badala yake ameiacha nchi kwenye dhiki na mahangaiko.

Karata ya mwisho aliyobaki nayo ilikuwa kujikosha kwenye swala la mashoga. Na huko pia mabeberu wamemfyeka.

Kilichobaki anasubiri tu kutwaliwa na mwenyezi Mungu akachomwe moto wa milele jehanamu.View attachment 2595888

Sawa
 
Huyu babu yangu m7 sijawahi kumpenda sbb ni katili sana na ndo mana linapokuja suala la kudeal na mashoga sina wasiwas nae.Anayoyafanya sirin anayajua mwenyewe.
Huyu suala la kuchukia gays sio la kiki au la msimu miaka yote hawapendi.Gays kibao wa uganga wamekimbilia abroad.Kama wewe ni gay ukimuona m7 anakuchekea anza kulia[emoji1787]
Hii ni vita iliyopotea.

Anajihangaisha bure. Bado kitambo kidogo atafukiwa ardhini lakini Uganda itabaki milele.

Na mashoga pia wataendelea kuwepo kwa sababu hakuna alilowafanya, na kwa sababu pia hana uwezo wa kuwafanya lolote.

Hauwezi kukiangamiza ambacho haukukitengeneza au kukiweka. Hiyo ni Kanuni ya asili.

Ndio maana tulimuonya, na tunashukuru anajua kurudisha silaha nyuma na kuogopa. Vinginevyo hata huo urais angenyang'anywa tu haraka.
 
Kosa la Mseven ni lipi!? Kawapa second chance kama wana uwezo wa kubadilika wabadilike, kama wanashindwa kubadilika sasa ndo hatua kali zichukuliwe
 
Shida ya kukurupuka. Museven kasema hato sign mpaka makali yaongezwe kwenye adhabu kwa mashoga. Adhabu ya kifo
Ana wachotaa akili nyie watu, huyo Mu7 hana ubavu wowoteee, na anajua kuwachezesha kidamali. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
View attachment 2595606

Afrika iliweza kushuhudia wiki chache zilizopita bunge la Uganda likipitisha muswada wa kutokomeza ushoga kimafia, Wengi tukaona Uganda awe mfano wa kuigwa na tukawapongeza sana kwamba ndio taifa la kuigwa katika suala la kulinda maadili yetu ya kiafrika.

Kilichobaki ilikuwa ni kumpasia pasi museveni amalizie kupitisha muswada huu uwe sheria, ilibaki tu saini ya Rais Museveni kufanya muswada huo uwe sheria, Kila mtu alijua Museveni ataipitisha fasta tu maana hata katika hotuba zake na vyombo vya kimataifa hamungunyi maneno wala kukwepesha, wala haogopagi chochote kusema hakuna watu wanaomkera kama wanaofanya mapenzi ya jinsia moja na anatamani wasiwepo kabisa kwa namna yoyote.

La haula!! Museveni kagoma kusaini muswada huo, kaomba upitiwe upya, Museveni tunaemjua huyu au !?

Wabunge walipedekeza muswada huu adhabu za vifungo vya gerezani na kifo kwa wale wanaobaka lakini Museveni kwa sasa kapendekeza kuwe na rehab, rehab ni kama zile sober house za wenye uraibu.

Hakika ni kitu cha kushangaza maana ikumbukwe Raisi huyu alikuwa ni kichwa cha treni kuwa mstari wa mbele kutamani kabisa kuutokomeza ushoga hata kwa mbinu za kimafia , nini kimetokea mpaka kawa hivi ??

Conclusion: Hivi vitu viwe kimya kimya tu kama hapa bongo unawekwa ndani miaka 30 kimya kimya, kwa sasa kupiga kelele kwa wanaotoa misaada ni kutafuta attention unnecessary, ni mwendo wa kimya kimya tu
Papa yuko vatikani anasema mashoga ni wana wa Mungu mse7 awezi kumpinga kiongozi wake wa dini kanisa ndilo linalo ongoza dunia atakae pinga ushoga usagaji ukahaba kukiona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mu7 kasalimu amri, haya wafuasi wake waungane nae kukana huo muswadaa.

Alikua ana wachota akili watu, hata yeye alijua uwezo hana kabisaa. Lol
Papa kasema mashoga ni wana wa Mungu nani apige?
 
Kosa la Mseven ni lipi!? Kawapa second chance kama wana uwezo wa kubadilika wabadilike, kama wanashindwa kubadilika sasa ndo hatua kali zichukuliwe
Museven sio mtu wa kutoa "second chance".

Yule ni sultani aliyefeli maisha, ana ujasiri wa kufanya lolote ilimradi ajikoshe na kujipa sifa.

Sasa tulimuonya, na alionyeka. Tunashukuru anajua wakati sahihi wa kujisalimisha na kuweka silaha chini.

Angeendelea kuwashambulia watu wasio na hatia tusingesita kumdhibiti.

Kinyago cha kuchonga kile. Tena cha bei nafuu.
 
Hapa bongo wanashughulikiwa kimya kimya wanaenda kutiwa vidole huko muhimbili
 
Hapa bongo wanashughulikiwa kimya kimya wanaenda kutiwa vidole huko muhimbili
Huyu SAMIA TUMESHAMKANYA aache kuwaonea watu wasio na hatia ili akwepeshe mijadala ya ufisadi.

Mpaka sasa ameshawafunga jela watu wanne wasio na hatia, na wengine wengi anaamuru wakamatwe na kuingiziwa madole kwenye njia za haja kubwa.

Sasa asipokanyika, ATAKANYWA KWA HERUFI KUBWA.
 
Kuna kitu Mange aliandika wkt anatetea mashoga ila sidhan kama kuna shoga aliyeutia akilin huo mstari.
Alisema"watoto wangu wakichagua kuwa mashoga nitawasapoti ila nitawaambia maisha mliyoyachagua YATAFANYA MUISHI KWA SHIDA NA KUBAGULIWA MAISHA YENU YOTE".

Hata kama kina Noel wameachiwa lkn laiti wasingekua gay wasingefanyiwa unyama waliifanyiwa huko muhimbili.

Pia huyu museveni ni dikteta.Yuko hapo mpaka leo kwa mabavu so kumbuka keahazoea kufanya mengi sirini.Usifurahie anayoyaongea public il asikwazane na mabeberu.Jiulize kwa chuk aliyonayo dhid yenu hakuna akichokipanga cha kimya kimya?
You people mtawindwa waziwaz na sirin sbb watu wanawachukia.

Usifurahi pale mama wa kambo anapoficha fimbo yake sbb kuna wagen wakiona anakuchapa watamvagaa.Usifurahie kuna Noel kuachiwa huwez kujua wamefanywa nin huko hospital na huwez kujua plan B ya serikal ni ipi.

Na hata kama serikal za sasa Zinaogopa ogopa kuna siku atatokea rais kichaa kama Hitler asiyejal beberu wala mtetea mkapangwa pale uwanja wa taifa hlf akaamuru wote mle shaba.

Mange anaboa ila ana akili sana.
Nyie mtaishi kwa shida na hofu siku zote.Umewahi kuwaza hivi ikitokea kundi la panya road ambao wanaua na kudhuru gays tu itakuaje?Hadi serikal iwadhibit ni gays wangap watakua wamekufa au kudhurika?
Umeeleza mengi sana na umetoa kwa umakini km sio maumivu pia? Hii Dunia hatuwezi kuwa sawa kamweee, kuna kila tabakaa.

Ndo maana kuna tabia nyingi mbovu, kwahiyo wala kubaguliwa na kutengwa sio ajabu sana.

Muhimu ni hapo uliposema kusakamwa kwa sirini au wazi wazi, hii ndio tunayo pingaaa na tulipingaa hadi kina Noel wametoka huruu.

Haijalishi huko Muhimbili wamepitia udhalilishaji au mateso gani muhimu wako huruu kwa sasa, ktk maisha kuna mapito mengi mnoo,

Kikubwaaa tunachopinga ni serikali kukiukaa kanuni na taratibu, hiyo yote kufurahishaa baadhi ya kikundi cha watu. Nikukumbushee pia wanasema mla nyama za watu huwa haachi,

Leo wanasakamwa mashoga, wakishamalizwa hawa litatafutwaa kundi lingine la kusakamwaa ndipo mtakapojua nn sahiv watu wanachopigania.
 
Hatari sana ....sheria ngumu sana ....pressure kubwa sana
 
Papa kasema mashoga ni wana wa Mungu nani apige?
Kwani uongo? Waovu wote ni wana wa Mungu, wakitubu wanafika kuume kwa baba, kadri ya maandiko ktk kitabu kitakatifu.
 
Back
Top Bottom