Nini kimempata Rais Museveni, kwanini ameomba sheria ya kubana mapenzi ya jinsia moja ifanyiwe marekebisho, Mabeberu wamemchimba mkwara?

Papa yuko vatikani anasema mashoga ni wana wa Mungu mse7 awezi kumpinga kiongozi wake wa dini kanisa ndilo linalo ongoza dunia atakae pinga ushoga usagaji ukahaba kukiona

Ukatoliki na ushoga ni kama samaki na maji.
 
Kuchagua soba ameamua kushugulika na chanzo cha tatizo siyo kutibu dalili ni busara ya pekee
 
Mbona kuna mashoga wengi huku, Ni kawaida kama yeye Raisi ameongeza mapendezo ambayo ata mimi nimeona yako vzr hasa upande wa kuwanyonga mabasha nyie mnaoona kushindwa hajafatiria hii habr vyema




'Wewe ni mwanaume'... ’kuwa mwanaume’,
From putin[emoji635][emoji1218]
 
Inje ya mada hii jamii foram ukiwa nije ya inchi haipatikani au tatizo nini au ndio ban jamani nieleweshwe,nipo Kongo huku toka nimefika nahangaika nashindwa kabisa kuingia.
 
Muwe mnafatilia habari kwa undani sio kukurupuka tu. Mseveni kakataa kusaini muswada huo akiwataka urudishwe bungeni uongezewe makali zaidi. Mishoga inaleta kakipande kadogo kutuaminisha amesanda. Mzee kiboko sana huyu[emoji3][emoji3]
 
Nashindwa kuamini sayari ya dunia imefika hatua ushoga unabambaniwa
 
"Kuna a very thin line katika uwezo wa kufikiri kati ya mwafrika na mnyama". Sijawahi kuona mtu anajitukana hivi inawezakana unajiongelea mwenyewe na siyo waafrika.
Wajinga na Wapumbavu wapo kwenye societies zote tunatofautiana idadi tu.
 
Waafrika ni wanyama na wafu wanaotembea. Ndio maana pamoja na rasilimali tele zilizojaa bado tunaishi kinyama. Zaidi ya akili ya kujifuta mavi hamna kipya mwafrika anaweza jisimamia.

Mwafrika ni mtu wa hovyo sana.
Sawa cha msingi na wewe ni mwaafrika.
 
Yaan mie nachokaa kwa kweliiii, sijui hata nifanyeje huendaa watu wataelewaa.
 
sijawahi kufurahia wala kushabikia watoto wawe mashoga, au kuwafundishaaa, Nafikiri utakua umekurupuka ktk kupitia hizo comments zangu, zisome kwa umakini afu utafakari.

Ninachopinga huwa ni kukiukwa kwa kanuni na taratibu, na siku zote huwa nasema shule za jinsia 1 zivunjwee, sababu yanayotendeka huko sio mazuri hata kidogo, najua ulisoma kuhusu kuwa mwanafunzi akikutwa shoga afukuzwee, na kushitakiwa, ndipo nilipopinga na watu wakadai mie nafurahia wanafunzi kuharibika, sasa rudi kasome tenaa palee ili upatee kuelewaa. Siku zote nitasema ukweli haijalishi kuna watu hawapendi au hawataki kusikia.

Km kuna watu au kundi lipo linalofundisha watoto hayo mambo basi wachukuliwe hatua, na ithibitike kweli sio kutuhumu watu holela hii ndio tunapingaaa, watu wapatikane kwa kufuata taratibu na kanuni..

Naomba kuku uliza wee hoja zako za kupinga ushoga unachukua kupitia Dini??
 
Kuchagua soba ameamua kushugulika na chanzo cha tatizo siyo kutibu dalili ni busara ya pekee
Na Tanzania ndo inatakiwa iwe hivii.
Hapa kwa Mu7 naona yuko sahihi na namuunga mkono.
 
Yaan wee acha tyuuh, inashangaza kwa kweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti shoga limefurahi dah ! Hii vita ya mashoga na serikali zao imekaa patamu sana . Mashoga sahizi yanafanya party huko UGANDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mu7 kasalimu amri, haya wafuasi wake waungane nae kukana huo muswadaa.

Alikua ana wachota akili watu, hata yeye alijua uwezo hana kabisaa. Lol
Sheria bhana kwenye kuzitunga na kuzipitisha watu wanatakiwa kuwa makini sana zisije kukurudia, Kuna president nakumbuka ni Asia aliwahi sign sheria ya kunyongwa Hadi kufa kama ukikutwa na dawa za kulevya,siku si mwanae mpendwa akadakwa ilikuwa ni mjadala dunia nzima jamaa akukubali mwanae anyongwe alipindisha sheria😀😀😀ni sawa na ushoga unapitisha sheria ya kuua mashoga Kwa sababu mwanao sio shoga,mara paah mwanao anagundulika ni shoga 😀😀hapo sijui itakuwaje au ndo wanatunga sheria za kuwakandamiza watu Baki na sio wao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…