Nini kimemsibu Mwigulu? Uso wake umekosa nuru!

Hii kitu ya nuru sikubaliani nayo , nilikua mnene kiasi fulani nikaanza tizi na mlo kamili, kurudi nyumbani watu wakaniambia nimekosa nuru🤔 nikajiuliza kumbe nuru ni kuhifadhi manyama uzembe yasiyo na faida mwilini 🤔
Nakubaliana na wewe, wapumbavu wengi wanawa judge wenzao kwa muonekano ambao wanahisi na kudhani wao. Wengi wao wanaosema au kuwaita wenzao wamekosa Nuru wachunguze utagundua ni simple minded.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…