Nini kimemsibu Mwigulu? Uso wake umekosa nuru!

Nini kimemsibu Mwigulu? Uso wake umekosa nuru!

Hizi fedha hizi. Biblia iliposema fedha na mali ni vitu vya kupita haikukosea.
Hahah! Hawa mafisad pamoja na kwamba wanapatamo lkn wanakula pesa kwa masimango mazito ningekuwa Mimi siwezi ningeshaachia ngazi mapema. Chakula Cha kula unasemwa hakishuki vizuri aisee!
 
Hii kitu ya nuru sikubaliani nayo , nilikua mnene kiasi fulani nikaanza tizi na mlo kamili, kurudi nyumbani watu wakaniambia nimekosa nuru🤔 nikajiuliza kumbe nuru ni kuhifadhi manyama uzembe yasiyo na faida mwilini 🤔
Hata sijui niandike nini
 
Hii kitu ya nuru sikubaliani nayo , nilikua mnene kiasi fulani nikaanza tizi na mlo kamili, kurudi nyumbani watu wakaniambia nimekosa nuru🤔 nikajiuliza kumbe nuru ni kuhifadhi manyama uzembe yasiyo na faida mwilini 🤔
Kwani hapo Mwiguku kapoteza Nyama? Nuru ni nuru tu hata ukiwa na manyama uzembe au la
 
Back
Top Bottom