The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YaaniBongo wape picha tu.
Kwanini mkuu?,.Wewe dada number muongo 🤣🤣🤣
HahahaaDhuluma zinazeesha
Hizi fedha hizi. Biblia iliposema fedha na mali ni vitu vya kupita haikukosea.Amani ya moyo yatosha. Vilio, vifo na hasira za watu huwezi ukapata nuru
Hahaha mafua tu?Kwanini mkuu?,.
Sometimes ni vichallenge tu vidogo vidogo kama homa mafuaa mtu sura inakosa nuru kiasi lakini watu wanakuza mambo😄😂
Hivyo vitatu vinazeesha? Mtu aliyeko early 50s kweli uso umechoka.Sijui umri wake lakini huo uzee wa ghafla ni uchovu, chuki na ufisadi.
Daaah we DadaSijui umri wake lakini huo uzee wa ghafla ni uchovu, chuki na ufisadi.
Hii kitu ya nuru sikubaliani nayo , nilikua mnene kiasi fulani nikaanza tizi na mlo kamili, kurudi nyumbani watu wakaniambia nimekosa nuru🤔 nikajiuliza kumbe nuru ni kuhifadhi manyama uzembe yasiyo na faida mwilini 🤔Kwanini mkuu?,.
Sometimes ni vichallenge tu vidogo vidogo kama homa mafuaa mtu sura inakosa nuru kiasi lakini watu wanakuza mambo😄😂
Akienda Uturuki anarudki akiwa kijanaNimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
Hivyo vitatu vinazeesha? Mtu aliyeko early 50s kweli uso umechoka.Sijui umri wake lakini huo uzee wa ghafla ni uchovu, chuki na ufisadi.
Naunga mkono hojaDhuluma zinazeesha
Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
View attachment 3194838View attachment 3194840
HahaahMwanaume Pesa Nuru waachie wanawake