Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

Huko ndani si kuzuri, watoto na mama yao wamechafukwa. Kuna mtu anatafuta mbeleko kwa jirani
 
Mzee baba yuko na "corona" . Polepole ndo alisema hivo,bado nayapenda meno yangu
 
Kuonesha kuwa "wapiga debe" mbakie kama mlivyo wao wanasonga mbele
 
Picha za kitambo sana hizo.... Hazina maana yeyote
 
Hapo jiwe anatamani angekuwa kwenye chama chenye nguvu ya umma CHADEMA.

Kuendesha ccm kwa kutumia polisi kunamchosha.

Tizama hata nguo alizovaa juzi kwenye miamba chamwino zina uelekeo wa CHADEMA.
 
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…