Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

Huko ndani si kuzuri, watoto na mama yao wamechafukwa. Kuna mtu anatafuta mbeleko kwa jirani
 
Mzee baba yuko na "corona" . Polepole ndo alisema hivo,bado nayapenda meno yangu
 
Kuonesha kuwa "wapiga debe" mbakie kama mlivyo wao wanasonga mbele
 
Picha za kitambo sana hizo.... Hazina maana yeyote
 
Hapo jiwe anatamani angekuwa kwenye chama chenye nguvu ya umma CHADEMA.

Kuendesha ccm kwa kutumia polisi kunamchosha.

Tizama hata nguo alizovaa juzi kwenye miamba chamwino zina uelekeo wa CHADEMA.
 
Makosa mengi yaliyopo Leo hasa yamesababisha na Vyama, mfano, Nje ya Chama, ni lini umewahi kumuona Mh Mdee akipelekwa mahakamani?

Nje ya Chama, ni lini Mh Mbowe amewahi kushinda mahakamani Kwa makosa yake?

Nje ya Chama wote ni watu Wema kuliko Bashite, na Kwa maana hiyo utambue wazi kabisa urafiki wa mtu na mtu haijalishi anatokea Chama gani

Nje ya Vyama, Sisi sote tunapendana tena sio kidogo

Lakini ndani ya Chama, shetani anakaa huko, mawazo ya kuvunja mageti ya magereza ni ndani ya Chama,

Ndani ya Chama uzalendo hamna

Ni hayo mkuu
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom