Nini kimemsukuma Msigwa wa Ikulu kuposti picha hizi mtandaoni siku ya leo akidai ni kumbukumbu?

Kilio cha maumivu ya wanaovunjwa mikono na kuteswa mahakamani na jela kimefika mbali. wanajaribu kuspin reality na artificiality
 
Upo sahihi kwa mtazamo huu wako chanya Ila mkuu ukweli uliopoTz saizi watu wanachukiana,tena ile chuki yenyewe.....wanasiasa wa siku hizi wanahubiri sana chuki kuliko siasa,na currently kumekuwa na mgawanyiko sana.....wanasiasa wa sasa hawajui waongee nini kwa wakati gani
 
Hiyo michango mngenipa hata mie kuliko vile.

Siasa haina uadui wa kudumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nini kinakuuma? Na upewe wewe kwa kipi unachokifanya Tanzania kama sio mzigo tu

Watu wanateseka kupambania majambo, watu wanakufa kwa majambo yani watu kama nyinyi unabahati sijui kufyonza kwa maandishi
 
Mnenguaji wa chama unahangaika sana kama kuku anayetaka kutaga
Your browser is not able to display this video.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliye kulaani alikuongezea mzigo mkubwa usioweza kuubeba, ni heri angelikuacha tu na uchizi uliotoka nao tumboni mwa mamayo!!! Ungelikutosha, nakuhurumia Kwa mizigo miwili kwenye bichwa lako

Jinga Sana wewe
Niite majina utakayo ila kitu kimoja nina uhakika nacho,nakula pande kubwa la keki ya taifa kuliko wewe!Pamoja na hayo haininyimi haki ya kutokuwa upande wa hao mafedhuli!
 
Ladba anashangaa jinsi mambo yanavyobadilika haraka ... anatamani uzamani
 
Niite majina utakayo ila kitu kimoja nina uhakika nacho,nakula pande kubwa la keki ya taifa kuliko wewe!Pamoja na hayo haininyimi haki ya kutokuwa upande wa hao mafedhuli!
[/QUOTE]
  1. Mkuu, nisamehe bule, nilichogundua, matusi uliyoniporomoshea bule kwenye post yangu haikuwa akili yako au hukuelewa vema nilichochangia, tusameheane mkuu maisha yaendelee,wewe mega huo mkate wa Taifa, ila kumbukumbu ufisadi haukubaliki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…