Sikiliza kenya ni ya kuaminika maana hawa viongozi wanaendaga kupata matibabu huko pia..Unataka kusema chanzo kilichotoa habari ya sababu ya kifo cha Lowassa kikatudanganya watanzania, halafu kikawaambia ukweli wakenya?!
Mimi ninaona hiyo habari inaweza kusababishwa zaidi na kupata taarifa toka kwa vyanzo viwili tofauti, wakenya wakamuuliza wa kwao, na watanzania tukamuuliza wa kwetu toka familia hiyo hiyo ya marehemu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Ukishajua chanzo cha utajiri wako inatosha.Hata chanzobya utajiri wa Lowasa hatuambiwi.
Kwani saratani ni gonjwa la kuficha?Naweza kuamini habari ya Kenya maana Bongo kwa kuficha ficha hatujambo japo vingine havina hata sababu ya kuvificha.
kumekucha aaaaaa inuka sasa kumekucha aaaaaa inuka sasa kumekucha mdogo wanguInasemekana baba rizmoko kamchukua msukule
Watanzania tumezoea habari za mitaan tu na za uzushi. Hizo za mitaan na uzushi ni nzur na tamu sana. Kwann uje jamii forum ulete uzushi? Nenda Pale Muhimbil kuna cheti cha kifo kimeandikwa sababu ya kifo. Acha habar za kitoto na Kipuuz :Chanzo cha vifo vya viongozi wetu huwa kinaleta mkanganyiko, sasa ni kuhusu nini hasa kimesababisha kifo cha Lowasa.
View attachment 2903806View attachment 2903807
Kiweke hapa, unaropoka ropoka tuWatanzania tumezoea habari za mitaan tu na za uzushi. Hizo za mitaan na uzushi ni nzur na tamu sana. Kwann uje jamii forum ulete uzushi? Nenda Pale Muhimbil kuna cheti cha kifo kimeandikwa sababu ya kifo. Acha habar za kitoto na Kipuuz :
Wewe fala nin8, sasa hapo chuki inaingiaje ?Ili iweje?punguza chuki,kataa umasikini kwa namna yoyote ile,umasikini sio sifa.
Mmm! Jamani, ni kazi ya Mungu. Naomba tusichume dhambi!!!Inasemekana baba rizmoko kamchukua msukule
Hilo lina umuhimu?Hata chanzo cha utajiri wa Lowasa hatuambiwi.
Hata chanzo cha umaskini wako hujatuambia.Hata chanzo cha utajiri wa Lowasa hatuambiwi.
kwa hiyo kama alikuwa anaugua kansa au ungonjwa tofauti na kansa inaongeza nini au kumpunguza nini.Naweza kuamini habari ya Kenya maana Bongo kwa kuficha ficha hatujambo japo vingine havina hata sababu ya kuvificha.
Na labda ndio sababu hata mwili wake haukuonyeshwa kwenye kuaga. Hawa ccm na huu uongo wao usikute Karimjee na Azania front wameleta sanduku tupuNaweza kuamini habari ya Kenya maana Bongo kwa kuficha ficha hatujambo japo vingine havina hata sababu ya kuvificha.
Hahahaa, sanduku tupu, iwe bhojo!Na labda ndio sababu hata mwili wake haukuonyeshwa kwenye kuaga. Hawa ccm na huu uongo wao usikute Karimjee na Azania front wameleta sanduku tupu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Lowassa hajaanza kuugua leo. Hata wakati anagombea urais 2015 ukimuangalia ulikuwa unaona kabisa hayuko sawa. Kuongea kwake tu ilikuwa siyo kama Lowassa wa zamani. Inawezekana ni magonjwa yameingiliana ila hakuwa mzima wa afya.Itakuwa tu ni magonjwa mbalimbali, hata hivyo ameteseka sana.
Pole Lowassa, hawakusema tungekuombea
Pengine ni ndugu na mke hawakutaka. Mara nyingine kuna familia hazitaki umma wote uone mwili wa mpendwa wao, na nafasi wanapewa watu wa karibu tu.Na labda ndio sababu hata mwili wake haukuonyeshwa kwenye kuaga. Hawa ccm na huu uongo wao usikute Karimjee na Azania front wameleta sanduku tupu
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Unajua Mimi ni Mkenya na halafu ni babaako! Usisahau Wakenya ni wakwel!!Naweza kuamini habari ya Kenya maana Bongo kwa kuficha ficha hatujambo japo vingine havina hata sababu ya kuvificha.
Alifanyiwa majaribio zaidi ya kumi ya kuwekewa sumu, na moja wapo ilikuwa katika maikrofoni ambayo alikiwa aitumie Mbeya wakati anajiandaa kuhutubia, watu wake wa karibu wakamtonya, lile kundi la wabaya wake likawa linamshinikiza ahutubie hivyohivyo, watu wake muhimu wakamuondoa eneo lile kwa nguvu.Lowassa hajaanza kuugua leo. Hata wakati anagombea urais 2015 ukimuangalia ulikuwa unaona kabisa hayuko sawa. Kuongea kwake tu ilikuwa siyo kama Lowassa wa zamani. Inawezekana ni magonjwa yameingiliana ila hakuwa mzima wa afya.