LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Achaga ubishi usio na maana mkuuSA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe
Achaga ubishi usio na maana mkuuSA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe
Hiz hata bongo zipo chief. Nmmeshafanyaga kazi ya ku tengeneza site 1 ha namna hiiKaka SA wanauza mbususu kwa mafungu , mpaka wanazo site za kuanika mizigo ili mnunuzi apatikane
Wemzako angalau wana leta hata hizo cooked, we za kwako ziko wapi !?Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Kuhofia kuishasasa apa wameonywa wachukue au wasichukue dawa nyingi? kauli haieleweki
Nakuja nazo subiria hapo hapoHaupo serious, nimesoma comments zako naona huna takwimu ni porojo tu. Njoo na takwimu
Nazileta ngoja hapo hapo msiseme sio zenyewe tuWemzako angalau wana leta hata hizo cooked, we za kwako ziko wapi !?
Huu ni ubishi wenye maanaAchaga ubishi usio na maana mkuu
Program za afya za wazungu hazina heri yoyote kwa mwafrika,ni vile hatuja akili ya kuunda mifumo ambayo ni authetic African,hatuna tamadun ya kufanya tafitiKila kitu mnawasingizia wazungu, Hujawahi kuona mziki wa Amapiano?
tanzania nzima kuna wagonjwa milioni 1.5SA inaizidi Njombe, Iringa, Kagera? Yaan tukiweka hio mikoa mitatu tu SA chali
Af ndo uambiwe ana Ngoma aah hapana kwa kweli hapa huchomoki kavu
sasa mbna data za mwenzio wazikataa?Nimeshasema tunawazidi kwa idadi mpaka hapo ni data tosha
Duh!...Mila zao zinawagharimu nini?Tanzania ukizidisha mara tatu kwa sasa ndio unalingana level na South Africa.
Zimbabwe na Botswana kuna muda 20% ya raia wana maambukizi.
haya sasa msauz mwenyew huyu hapa niheri nzi afee kwa kidonda
unasemaje? huyo ana ngoma?😏