Nini kimesababisha South Africa kuwa na HIV AIDS kwa rate kubwa?

Nipe hizo data sio hizo cooked data, SA hawatufikii kwa idadi ya watu wenye ngwengwe fanya suu tusiwape ARV ndio utaelewa yaan ARV zizimwe SA na huku zizimwe halafu angalia wapi watu wengi wanaanguka
Wemzako angalau wana leta hata hizo cooked, we za kwako ziko wapi !?
 
Umqomboti ni pombe kama kangala au zile za wagogo, ukilewa pombe hizi kazi ni moja ya kubamizana pamoja na ugomvi.
 
Kila kitu mnawasingizia wazungu, Hujawahi kuona mziki wa Amapiano?
Program za afya za wazungu hazina heri yoyote kwa mwafrika,ni vile hatuja akili ya kuunda mifumo ambayo ni authetic African,hatuna tamadun ya kufanya tafiti
Hujasikia wale wayahudi wa Ethiopia waliohamishiwa israel walikuwa wakichomwa sindano za uzazi wa mpango kwa siri mahospitalini, Wasouth kweli ngono iko holela,lakini kipindi cha apartheid hata kama hawakuchomwa ,poverty itakuwa iliwasikumia huko.
 
Kudadadeki, Wananchi wame-concentrate na kubinuana na kupelekana moto kuliko maendel- no, kuliko kula bila shaka. Acha wapukutike tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…