johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Lete ukweli wako!Acha uongo wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete ukweli wako!Acha uongo wewe
Selemani Saidi Jafo (born 26 May 1973) is a Tanzanian CCM politician. He has been a Member of Parliament for the Kisarawe constituency since 2010.[1]Lete ukweli wako!
Ohoo! This is too much ooo...!Kwa mujibu wa sheria ipi?
Mlio Wa bunduki wa nini wakati hakuna mhalifu?Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.
Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
HaahahahhahahaaahaaHivi Jafo naye ni kijana?
Gambo ni comeback kid,,yule atarudi juu...Nape,January na Makonda walidhani wao ni untouchable kwa kuwa nyakati fulani wamemsaidia mtawala.Wanaweza wakaibuka tena lakini sidhani awamu hii kama watapewa kipaumbele.
Kigwangala ameponzwa na tabia ya kupenda mapambano hata pale alipoonywa na mkubwa wake aliendeleza likembe.
Gambo yule ni invisible atapaa tena.
Kama huyu mh. Mkuu.Awamu ya kwanza ililea wanasiasa wale wale mpaka wanastaafu na wengine mpaka mauti yalipo wafika. Enzi zile wasomi walikua wachache.
Siku hizi kuna vijana wapya wanaibuka na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Kila mtu ana stahii nafasi.
John Pumbalu ni wamaana kuliko huyo VieitiiKama huyu mh. Mkuu.View attachment 1668490
Achana na wote,Ila huyu MAKONDA!!!!!Nape,January na Makonda walidhani wao ni untouchable kwa kuwa nyakati fulani wamemsaidia mtawala.Wanaweza wakaibuka tena lakini sidhani awamu hii kama watapewa kipaumbele.
Kigwangala ameponzwa na tabia ya kupenda mapambano hata pale alipoonywa na mkubwa wake aliendeleza likembe.
Gambo yule ni invisible atapaa tena.
Hata uchawi nao una exipire date.Najua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.
Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
Ngoja Mzee wa makafara akatest mitambo yake.Huyo JAFFO mnamtajataja mwisho apigwe kombora kijana wa kisarawe bure.
uko muda wao sasa hivi chama kipo mikokoni mwa mdhamniniNajua wengi wao wako bungeni lakini ukimya wao ni kama vile hawapo yaani hawasikiki wala hawafurukuti.
Nini kimewatuliza?
Je, ni ujio wa vijana wapya na machachari kutoka CHADEMA akina Silinde, Patrobas, Waitara, Gekui, Mwambe, Dr Mollel nk au ni nini hasa maana hata Sadifa na Shonza wamezimika pia.
Mwisho wa uchaguzi ndio mwanzo wa uchaguzi mwingine.
Mungu wabariki vijana wa Afrika akina Bobi Wine na Jaffo
Maendeleo hayana vyama!
Hiki kidingi kigagula kweli kweliKama huyu mh. Mkuu.View attachment 1668490