Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Kwani vijana BAVICHA wanawakaba hao mataga?

Mbona hamjiamini kiasi hiki?
 
Mlio
Mlio Wa bunduki wa nini wakati hakuna mhalifu?
Chadema imechoka na ACT, sasa watajibu mapigo gani?
 
Gambo ni comeback kid,,yule atarudi juu...
 
Awamu ya kwanza ililea wanasiasa wale wale mpaka wanastaafu na wengine mpaka mauti yalipo wafika. Enzi zile wasomi walikua wachache.

Siku hizi kuna vijana wapya wanaibuka na uwezo mkubwa wa kujenga hoja. Kila mtu ana stahii nafasi.
Kama huyu mh. Mkuu.
 
Achana na wote,Ila huyu MAKONDA!!!!!
 
Hata uchawi nao una exipire date.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
uko muda wao sasa hivi chama kipo mikokoni mwa mdhamnini
 
Hawa vijana enzi za JK na awamu ya kwanza ya JPM walijiona wao ndiyo CCM na CCM ndiyo wao...sasa wanalilia tumboni...wana maumivu zaidi ya yale ya wana CDM....

Tena washukuru kupewa hata hako ka ubunge vinginevyo kikwetu kuna msemo kwamba "mchwa ushakula kamba" ..means hakuna ujenzi hapo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…