Nini kimetokea hadi vijana maarufu wa CCM akina January, Nape, Kigwangalla, Makonda, Gambo nk kuzimika ghafla?

Ila Majaliwa anaweza, na anafaa isipokuwa, asije akatumia kukaza mkanda Sana, watu wataogopa kukaza mkananda for 20years, ni parefu mbaya!
Majaliwa atakuwa katili kuliko hata huyo jiwe
Pale yuko tu na ngozi ya kondo na kwa kuwa yeye siyo mshika rungu hatuwezi kuona balaa lake
 
Majaliwa atakuwa katili kuliko hata huyo jiwe
Pale yuko tu na ngozi ya kondo na kwa kuwa yeye siyo mshika rungu hatuwezi kuona balaa lake
Atakuwa PM wa kwanza kujaribu na kufanikiwa. Lakini pia tusisahau jamaa wana mpango na term limit
 
Angalau wao wanatafakari bunge la chama kimoja.
 
Ile dhana ya kuwa Ccm ni mali ya ukoo flani imeisha?
 
Nimekuelewa bwashee.

Nyota ya Daktari Mwigullu Nchemba bado inang'aa!
Ukiona wengine wanafifia,au wanapotea ujue kuwa kuna wapya waneibuka na wanang'aa.
Hao uliowataja washatumika nae pengine muda wao wa matumizi umeisha,au upepo wao umepita au wamezamishwa makusudi kwa sababu maalumu za walioshika mpini au madaraka.
 
Wamebadilishana tu. Ccm ina akiba kibao hivyo hivyo wale bora kwa aina ya mapambano wakati huo ndio wanatumika.
 
Kwani bunge lunaendelea sasa hivi?.
 
Wametulia wanakula posho na ruzuku za ubunge.
 
Hamna kijana hapo wote mikangafu,watu wana 40- 45+ unasema vijana.tena hako ka patrobasi ni kakubwa alianza kuwa mwalimu.
 
Kwanza ujue hakuna mtu maarufu zaidi ya chama! CCM ndio maarufu zaidi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…