Nini kimetokea kwa hawa wachezaji watatu?

Huyo Max hata kuitwa kufuta viatu vya wenzie hana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kwahio wewe unafurahia kufuta viatu vya wenzio sio wewe kweli kolo fc kwa max ni suala la muda tuuu
 
Feisali atawatoa mimba mashabiki wa timu fulani.Kashauzwa huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…