Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawili wazee mmoja kitambi.View attachment 2734058
Nimeona wanatrend sana ni nini haswa kinaendelea? 😂😂😂
Kuna mmoja hapo alipiga hatrick timu ina wachezaji wanne 😂
Inonga ameitwa kucheza mpira akiwa benchiInonga kaitwa timu ya TAIFA Congo
Maxi anazurura tu tandale [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Congo huwa inaita kwa vigezo ,Max bado hajafikia vigezo, hata Mayele mwanzo hakua anaitwa hadi pale alipotimiza vigezoInonga ameitwa kucheza mpira akiwa benchi
Na akaja akatupia mpaka Inonga alitetemaCongo huwa inaita kwa vigezo ,Max bado hajafikia vigezo, hata Mayele mwanzo hakua anaitwa hadi pale alipotimiza vigezo
Hata Mimi ningemuita...ana nguvu mnoo za kubeba VIATU na mabegi ya wenzakeInonga kaitwa timu ya TAIFA Congo
Maxi anazurura tu tandale [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huyo Max hata kuitwa kufuta viatu vya wenzie hana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inonga uwa anaitwa kubeba mabegi ya wenzie
Huyo Max hata kuitwa kufuta viatu vya wenzie hana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu ndo unaitwa ushabiki mandazi.Hata Mimi ningemuita...ana nguvu mnoo za kubeba VIATU na mabegi ya wenzake
Aahaaaa,mmaaee dahInonga uwa anaitwa kubeba mabegi ya wenzie
Kaandikwa kwenye pepsi.Huyo Max hata kuitwa kufuta viatu vya wenzie hana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]