warudi vyuo huko mawizarani wanadhalilisha tu taaluma zao.Kazi iendelee!
Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.
Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.
Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.
View attachment 2306732
Alikuwa udsm akaenda nssf akavurunda,akakaa bench ,akarudi na sasa kavurunda tena,huyu kiea udsm tulikuwa tunashonda nae kwenye kijiwe cha magazeti,shabiki kindakindaki wa utopoloKukosea wapi huyu Prof hadi wamtupe huko kwenye uRAS
Upewe wewe basi au?Kahyarara ni mtu wa hovyo sana sijui Samia alimrudisha wanini.
Hana tofauti na wasomi wengine wa kiafrika ambao pamoja na usomi wao hawana tofauti na washenzi.
Nilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.Upewe wewe basi au?
Kuna watu wanadhani jf ni watoto tu kumbe na wazee mmoNilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Endelea kuotaNilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Kwako ni ndoto maana hata ukarani wa sensa uliulilia.Endelea kuota
Hii ndio shida. Hawa vijana wa CCM wana limited mindset ya kufikiri.Kuna watu wanadhani jf ni watoto tu kumbe na wazee mmo
Endelea kuotaKwako ni ndoto maana hata ukarani wa sensa uliulilia.
KabisaaHii ndio shida. Hawa vijana wa CCM wana limited mindset ya kufikiri.