Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

Nini kimetokea Prof. Kahyarara, Katibu Mkuu wa Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda kuwa RAS Geita?

Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Labda ni Prof. mzigo maana hata jiwe alimtema pia
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Ma vyeo ya kuteuliwa huwa hayaeleweki..

Huyu bwana kafanya vizuri tuu labda Kwa sababu siku za hivi karibuni amekuwa akitoa Takwimu za kukandia wazalendo wa Chato so wamemfitini.
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Asingeweza kuwa pamoja na waziri yule ambaye ni kilaza.
Over
 
Kwani alipoteuliwa uliambiwa sababu za kuteuliwa?
 
Nilishavuka huko, kipindi naacha kazi serikalini nilifikia ngazi ya ukurugenzi wa idara pale MFA, nikaja huku kwenye international organizations. Siishi maisha ya kupangiwa tena nini cha kufanya. Najipangia mwenyewe na nimejiajiri.
Hongera Sana mkuu. Nimekutana na jamaa aliacha kazi ya ulecture wa university. Sasa ana kampuni yake mwaka wa sita
 
Kazi iendelee!

Nimepitia mkeka mpya wa walioteuliwa kuwa Makatibu Tawala, cha kushangaza nimekutana na jina la Prof. Kahyarara, aliyekuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara. Zaidi sana utaona ndiye Katibu Mkuu pekee aliyetolewa kwenye hiyo nafasi na kuwa RAS.

Sijui nini kimempata huyu Prof hadi kuonekana hatoshi kwenye nafasi ya kuwa Katibu Mkuu.

Tumtakie kila la heri katika nafasi yake mpya ya Katibu Tawala Mkoa wa Geita.

View attachment 2306732
Hiyo siyo nafasi ya mtu binafsi
 
Kahyarara ni mtu wa hovyo sana sijui Samia alimrudisha wanini.

Hana tofauti na wasomi wengine wa kiafrika ambao pamoja na usomi wao hawana tofauti na washenzi.
Mmh sijui
Namfahamu Prof vizuri sana
Wazazi wake ni wacha Mungu sana
Ni familia yenye hofu ya Mungu sana..
Kielimu yupo vizuri ‘he is smart’ that I know for sure… sijui labda uongozi ndio shida but lipo jambo remote ya msoga inaiangamiza nchi hivyo tu…
Prof rudi shuleni kufundisha (abroad)siasa ni mchezo mchafu.
 
Hongera Sana mkuu. Nimekutana na jamaa aliacha kazi ya ulecture wa university. Sasa ana kampuni yake mwaka wa sita
Kuna level ukiipita katika maisha kuna vitu utaona vya kawaida sana. Na kuna level ukiwa katika maisha kuna vitu kwako unaweza kuviona ni ndoto. Kuna mtu anaiona iphone 13 pro max kwake ni ndoto na kuna mtu naona ni kitu cha kawaida.

Kuna watu huko wanaona ukuu wa mkoa ambao mtu hauzidi 5M ni ndoto na kuna wanaoona hiyo ni hela mbuzi maana kwakujiajiri anaingiza zaidi ya hiyo kwa mwezi.

Hawa chawa wa UVCCM ambao hawajawahi ingia kwenye service scheme yoyote kwao laki moja tu huwafanya wakatane mitama maana ni ndoto kwao na kwa vile chama chao ni cha kijamaa hudumaza akili na kipato chao ili kiendelee kuwatumia kwa kuwaangushia tende na finyango za nyama.

Hajui kuna watu wanakataa u MD wenye package hadi 30M hapa nchini achilia mbali hivyo vyeo uchwara vya u DC na U RC ambavyo hao chawa wa CCM ni ndoto lwao.
 
Mmh sijui
Namfahamu Prof vizuri sana
Wazazi wake ni wacha Mungu sana
Ni familia yenye hofu ya Mungu sana..
Kielimu yupo vizuri ‘he is smart’ that I know for sure… sijui labda uongozi ndio shida but lipo jambo remote ya msoga inaiangamiza nchi hivyo tu…
Prof rudi shuleni kufundisha (abroad)siasa ni mchezo mchafu.
Kahyarara alifanya madudu ya kutisha pale NSSF, zaidi ya kusifia vyeti vyake na arrogance iliyozidi kipimo huyo jamaa ni mtupu wa kiwango chake. Ieleweke kupata elimu kubwa, kuwa mzuri sana darasani haukufanyi kuwa bora katika service delivery.

Ku utilize resources na knolegde ulimwengu mwingine kabisa tofauti na kutema content darasani kisha kumsaishia mwanafunzi aliyekariri ulichomtemea.

Ndio maana developed world walishavuka kwenye uga wa kuabudu vyeti sana.

Hayo ya ucha Mungu wa wazazi wake hayaongezi chochote kwenye quality service delivery ya mhusika.
 
Nchi hii siku ikiacha kuabudu vyeti vya shule pekee na kuangalia ufanisi sidhani kama tutatoka hapo tulipo kwenda hatua nyingine. Kuna shida kubwa sana ya elimu zetu na bahati mbaya tunapeana nafasi sababu ya vyeti bila kuangalia na mambo mengine ya utendaji kazi. Angalia wafanya biashara wa kubwa sio wasomi na hata viongozi bora kutokea pia sio wasomi. Nchi hii tumefika hapa sababu ya hawa hawa wasomi ni wakati utendaji na ufanisi iwe kigezo bila kudharau elimu tufanye mix ya vyote.
Wapumbavu wengi nchini ndo Wakuu wa Idara. Nikiwa mdogo niliposikia huyu ni Mkuu wa mkoa Nilikuwa naogopa hata kumkaribia maana nilijua ananizidi si cheo Tu lakini hata busara na uwezo wa kupambanua Mambo. Leo wanapewa nafasi hizo watu Wenye kima cha chini cha kufikiri kisa Tu kawasilisha vikaratasi vilivyotolewa na Taasisi za elimu ambazo kumbe zinaendeshwa na vilaza Wenye vyeti.
 
Back
Top Bottom