Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Salam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya zaidi tayari in jua la jioni umri umekwenda.
Kuna kipindi walisema hawaitaji ndoa wakasema tafuta pesa lakini sasa hivi hawesemi tena wote hao wanatafuta ndoa kwa gharama yoyote hadi wengine wanagharamia wenyewe.
Je nini kimewakumba kutaka ndoa uzeeni?