Nini kimewakumba wanawake na hii trend ya kutafuta ndoa uzeeni

Nini kimewakumba wanawake na hii trend ya kutafuta ndoa uzeeni

Hii ipo Afrika ya weusi tu,kwa wenzetu maisha ni zaidi ya "sexual,emotional personal gratifications,wenzetu maisha ni Fanya jambo litakaloiacha Dunia katika hari Bora kuliko uliyoikuta,
Mtu kama bakheresa,Eron musk hawezi kuwa anawaza misambwanda,na kupiga pipe tu,ana ndoto kubwa zitakazo ishi miaka zaidi ya 50 akishakufa!
Huyo Elon Musk ana scandal ya kutoka na mke wa mwanzilishi wa google
 
Hatutaki taji la "friend" tukifa tunataka taji la "wife" ni hivi tu hakuna kingine
 
Ni ivi hakuna kitu kibaya utakifanya kitakuacha salama ukifanya kitu kweny ujana kama kibaya kitakuja kukutesa mbeleni huko .

Achana na hao wanawake rejea Uzi wa jamaa alizaaa na wanawake watatu tofauti sasa leo 37 years anataka kuoa ila anaona atawatesa watoto kama akioa mke huyu mmoja wengine watakuwa na mama wa kambo.ukijua formula ya kutuliza akili mapema utapata mfanikio mengi mbeleni ya kiuchumi na nafsi kwa ujumla.
Upo sahihi boss
 
Hawapo serious na hata wakiolewa katika umri huu ni ngumu ku commit na mahusiano ya ndoa maana tayari wameisha ishi kinguruwe ujana wao wote.

Watoto wa kike wanaharibiwa au kuvurugwa katika umri kuanzia 8 hadi 25. Hapa mtoto wa kike asipoandaliwa kisaikolojia kuwa ipo siku atakuwa mke wa mtu na mama wa familia then sahau kuwa na mtoto wa kike anaejitambua.
FB_IMG_1659219936427.jpg
 
Haya mambo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1661684774993.jpg
 
Mbona Mlema alioa uzeeni? Na wengine wengi.
We all want to be attached and belong to someone from early stage of our life to the end.
Nini kilitokea baada ya kufariki?! Au unajifanya hujui kilichompeleka yule dada?!
 
Mbona Mlema alioa uzeeni? Na wengine wengi.
We all want to be attached and belong to someone from early stage of our life to the end.
Mrema alifiwa na mke, je hao wamefiwa na mme?
 
Back
Top Bottom