Vladivostok
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 307
- 1,387
Hakuna Shangingi mweusi 🤣🤣😆Mkuu kwani wazee hawaliwi
Huu mwili metabolism zake ni balaa
Nawakumbusha tu pisi nyeupe ni shida angalia mashangingi mengi uzeeni ni meupe
😂😂😂😂Usije itaka harusi kwa pupa
Haipingwi!Kuolewa ni heshima kwa mwanamke 😂
Yaani!!Ni ivi hakuna kitu kibaya utakifanya kitakuacha salama ukifanya kitu kweny ujana kama kibaya kitakuja kukutesa mbeleni huko .
Achana na hao wanawake rejea Uzi wa jamaa alizaaa na wanawake watatu tofauti sasa leo 37 years anataka kuoa ila anaona atawatesa watoto kama akioa mke huyu mmoja wengine watakuwa na mama wa kambo.ukijua formula ya kutuliza akili mapema utapata mfanikio mengi mbeleni ya kiuchumi na nafsi kwa ujumla.
Sawa ujumbe umefikaWapambane tu...
Aisee namba yake iko wapi jamani? Mtoto ana nido hatari...yaani hapo tittty fvck hadi rahaSalam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya zaidi tayari in jua la jioni umri umekwenda.
Kuna kipindi walisema hawaitaji ndoa wakasema tafuta pesa lakini sasa hivi hawesemi tena wote hao wanatafuta ndoa kwa gharama yoyote hadi wengine wanagharamia wenyewe.
Je nini kimewakumba kutaka ndoa uzeeni?View attachment 2368295
Kelsea u asemwa hukuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣Shida inaanzia pale wanawake wanapokuwa kwenye ujana wao( kuanzia maiaka 20- 27).Katika huo umri mabinti wengi wanakuwaga very much selective when it comes to choosing their patners.
Unaskia fulani anataka mwanaume tall,black,handsome na awe na pesa.Naye mwingine hataki kuolewa na wanaume kutoka kwa makabila fulani fulani.Yaani wanakuwa very selective na umri nao unazidi kuyoyoma.
Picha linaishi unakuta dada wa wa watu amefikisha miaka 30 ila Bado hajampata mwanaume anayekidhi vigezo vyake.Sasa ndio Hawa akina Isha Mashauzi wanakuja kujistukia uzeeni eti wanaanza kujitangaza kwenye mitandao wakitafuta wanaume wa kuwaoa.
Hii ipo Afrika ya weusi tu,kwa wenzetu maisha ni zaidi ya "sexual,emotional personal gratifications,wenzetu maisha ni Fanya jambo litakaloiacha Dunia katika hari Bora kuliko uliyoikuta,Mbona Mlema alioa uzeeni? Na wengine wengi.
We all want to be attached and belong to someone from early stage of our life to the end.