Nini kimewakumba wanawake na hii trend ya kutafuta ndoa uzeeni

Huyo Elon Musk ana scandal ya kutoka na mke wa mwanzilishi wa google
 
Hatutaki taji la "friend" tukifa tunataka taji la "wife" ni hivi tu hakuna kingine
 
Upo sahihi boss
 
Hawapo serious na hata wakiolewa katika umri huu ni ngumu ku commit na mahusiano ya ndoa maana tayari wameisha ishi kinguruwe ujana wao wote.

Watoto wa kike wanaharibiwa au kuvurugwa katika umri kuanzia 8 hadi 25. Hapa mtoto wa kike asipoandaliwa kisaikolojia kuwa ipo siku atakuwa mke wa mtu na mama wa familia then sahau kuwa na mtoto wa kike anaejitambua.
 
Haya mambo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona Mlema alioa uzeeni? Na wengine wengi.
We all want to be attached and belong to someone from early stage of our life to the end.
Nini kilitokea baada ya kufariki?! Au unajifanya hujui kilichompeleka yule dada?!
 
Mbona Mlema alioa uzeeni? Na wengine wengi.
We all want to be attached and belong to someone from early stage of our life to the end.
Mrema alifiwa na mke, je hao wamefiwa na mme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…