kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Profesa Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema.
Si Hawa tu Bali wasomi wengi wamejitokeza kwenye mitandao kuishabikia Chadema, Je, hii ni ishara kwamba Chadema inapiga Vita vyema kuliko kipindi Cha nyuma?
Kama wazee wamekubali kutofautisha maslahi ya Taifa na maslahi binafsi, kwanini vijana tusiwekeze nje ya siasa tupate mtaji wakuendesha siasa kuliko kusubiri tuajiriwe na siasa kama walivyolemazwa ndugu zetu?