Nini kimewarejeshea Profesa Baregu na Safari imani dhidi ya CHADEMA?

Nini kimewarejeshea Profesa Baregu na Safari imani dhidi ya CHADEMA?

Prof Safari alitangaza amestaafu siasa, tena CDM walimzodoa baada ya kutoa baadhi ya ushauri wakati anatangaza kustaafa. Ninacho ona Mbowe anahitaji wenye akili nyuma yake, wote waliokuwa think tank ya CDM hawapo tena, wamebaki waropokaji na wanasiasa.

Ni bahati mbaya tu muda umeshawatupa mkono hao ma Prof na kina cha maji waliyozama CDM tayari ni kirefu sana, kuikoa CDM kwa sasa inahitaji kudra tu za mwenyezi Mungu maana wameshazungukwa na CCM kila kona.
Hakuna ccm yoyote iliyoizunguka cdm, bali kuna madaraka ya urais yanayotumika vibaya kuihujumu cdm.
 
Back
Top Bottom