kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Vipi Dadaa. Uko pouwa? Maana mnabadilika badilika kama wahudumu wa BarChadema ni sacos ya mbowe na kundi lake, ndo maana wameanza kuondoka, baada ya masrahi yao kuisha, nabado utasikia heche yupo ujerumani na bagonza yupo uingereza.
Ukisikia heche kaenda ujerumani, ujue kakimbia mkono wa chuma wa dikiteta magufuli, bagonza tayari katishwa, muda si mrefu naye atakimbia nchi!Chadema ni sacos ya mbowe na kundi lake, ndo maana wameanza kuondoka, baada ya masrahi yao kuisha, nabado utasikia heche yupo ujerumani na bagonza yupo uingereza.
Tangu lini expert member ikawa ID mpya!New member ID yako ya zamani Inaitwaje??
Huna akili timamu nani atakuamini ?Chadema siyo chama cha siasa nishasema! Nikibubu cha watu.
Kibubu anakiendesha John, ATCL inaendeshwa kwa siri, hata mikataba ya madini siriChadema siyo chama cha siasa nishasema! Nikibubu cha watu.
Inaonyesha inakuuma sanaa hadi unasema personal attack kwa kufukuzwa hao 19Chadema ni sacos ya mbowe na kundi lake, ndo maana wameanza kuondoka, baada ya masrahi yao kuisha, nabado utasikia heche yupo ujerumani na bagonza yupo uingereza.
mamako!Chadema siyo chama cha siasa nishasema! Nikibubu cha watu.
AKA SACCOSChadema siyo chama cha siasa nishasema! Nikibubu cha watu.
Mlisema hivyo mpaka kufikia miezi miwili kabla ya Oct 28Prof Safari alitangaza amestaafu siasa, tena CDM walimzodoa baada ya kutoa baadhi ya ushauri wakati anatangaza kustaafa. Ninacho ona Mbowe anahitaji wenye akili nyuma yake, wote waliokuwa think tank ya CDM hawapo tena, wamebaki waropokaji na wanasiasa.
Ni bahati mbaya tu muda umeshawatupa mkono hao ma Prof na kina cha maji waliyozama CDM tayari ni kirefu sana, kuikoa CDM kwa sasa inahitaji kudra tu za mwenyezi Mungu maana wameshazungukwa na CCM kila kona.
Uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo!!New member ID yako ya zamani Inaitwaje??
Chadema imekufa,hata kama waionee huruma namna gani. Prof Safari alishuhudia Mbowe akiuza game kwa Edo, hakukemea kitu,leo anakumbuka neti asubuhi?Prof Baregu na Safari walipotea hewani kwa muda Sasa lakini ghafla baada ya Chadema kuwatimua Wabunge 19 wasomi Hawa wanaonekana kupata nguvu nakuanza kuonyesha imani kubwa kwa Chadema.
Si Hawa tu Bali wasomi wengi wamejitokeza kwenye mitandao kuishabikia Chadema, Je, hii ni ishara kwamba Chadema inapiga Vita vyema kuliko kipindi Cha nyuma? Kama wazee wamekubali kutofautisha maslahi ya Taifa na maslahi binafsi, kwanini vijana tusiwekeze nje ya siasa tupate mtaji hawakuendesha siasa kuliko kusubiri tuajiriwe na siasa kama walivyolemazwa ndugu zetu?
Kama siyo bia yetu ni Etegwe kaanzisha id mpya!New member ID yako ya zamani Inaitwaje??
Sijui kwanini wajinga wanazidi kujazana JF!Chadema siyo chama cha siasa nishasema! Nikibubu cha watu.