Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

Kalamu1,
Alipofanya mkutano wake kule Hai mwenyekiti wako nafikiri alizomewa na idadi ya watu ilikuwa ndogo sana. Nyomi lililohama juzi kurime ukijumlisha kwa pamoja hivi nafikiri ni ishara kuwa kuna anguko kubwa,hivyo ni katika kuzungunzia ukweli wa mambo tu.
 
Freeman Mbowe's Kingpin grip on power is half the reason.
 
Ushindani wa kisiasa umewashinda. Kiwango Cha uelewa wa siasa Safi kwa watanzania kimeongezeka, na hayo ndio màtokeo na matunda ya sera ya elimu bila malipo
Mm Sina chama ila sioni ushindani huru wa kisiasa TZ kwa sasa mwenye dola anatumia dola.....uwanja wa siasa haupo huru Kama zamani lazim tu wapinzani wapate wakati mgumu Sana kwa kipindi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
denooJ,
Kipindi mmeshika hatamu hakukuwa polisi ?

Tatizo ni gia za angani ambazo zimesababisha kuondoa misingi ambayo hapo awali watu waliiamini haiyumbi,

Ombwe la demokrasia ni shida nyingine kubwa,kuweka watu katika makundi mfano "wa sebuleni" na "wa chumbani"
 
Huku Lumumba wakianzisha Watekaji security group of companies.
Hamna serikali inaongoza kwa utekaji kama ya Rwanda unayoisifia kila neno Rwanda linapotajwa. Na by the way mambo ya chadema na CCM ni ya Watanzania, hayawahusu hata kidogo nyie wanyarwanda.

Watu bado mnachukiana kisa tofauti ya urefu wa pua ila bado unapata muda wa kuwakosoa watanzania! Nanda majukwaa yanayokuhusu kaimbe na kumsifu mfalme Kagame.
 
Magufuli kawambia hajakataza mikutano km diwani au mbunge anataka mkutano afanye hivyo uchaguz hautahairishwa.


Akili za kuzaliwa zinajenga
Kwa hiyo waitara ni mbunge wa hilo eneo?
 
BUSH BIN LADEN,
Hahah mtekaji umepaniki hatari na wanasema serikali tukufu inaiga utekaji kutoka kwa Kagame na hata Lissu ameshalisema suala hilo,so karibu tuendelee kujifunza namna ya kuteka na kupoteza watu kutoka kwa Kagame.

Rip Kamanda Mawazo.
 
Magufuli kawambia hajakataza mikutano km diwani au mbunge anataka mkutano afanye hivyo uchaguz hautahairishwa.


Akili za kuzaliwa zinajenga
Waitara ni mbunge wa wapi kwani?
 
Chadema itawapa ugonjwa wa moyo,Chadema imetulia nyinyi mnahangaika [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
upuuzi mtupu huu wa bashite
 
Naomba ufafanue vizuri kwamba wananchi wanashikiliwa vipi?
Kuhusu kuogopwa hili sio kweli,tunaweka mambo wazi kuwa hali halisi ilivyo. Ndio maana hata mimi nimehoji kama chama kikuu cha upinzani mnashindwa hata kutoa tamko tu wapi hawa waliopo madarakani wamepwaya?
Kukaa kwenu kimya inaonyesha mmeshakubali kushindwa. Maana Act kidogo wanajitutumua hata Cuf pia.
 
Umejuaje kuwa ni "Mwenyekiti wangu."

Inaonekana wewe sio mtu makini ninayeweza kujibishana naye hoja hapa JF, kwa sababu hata uwezo wa kusoma na kuelewa nilichoandika huna.
Bakia na mipasho yako.
 
Y
Umejuaje kuwa ni "Mwenyekiti wangu."

Inaonekana wewe sio mtu makini ninayeweza kujibishana naye hoja hapa JF, kwa sababu hata uwezo wa kusoma na kuelewa nilichoandika huna.
Bakia na mipasho yako.
Ungekuwa na akili ungekula kona kimya kimya.
 
Viongozi hawakuwa na mpango mkakati wowote ule kuelekea 2020 na ndiyo maana wanajikuta kuwa chama cha matukio na kesi. Viongozi hawapendi kuambiwa ukweli na wanachama nao pia wako hivyo. Kama kuna umbwe la uongozi kwani tangu Mh. Slaa ajiengue hajapatikana kiongozi yoyote yule ambaye anaweza kufikia hata robo ya Slaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…