CCM imejitahidi sana kukusanya watu na kufanya kampeni kujiandaa na uchaguzi mkuu wa 2020 bila kujali uwepo wa Corona.Asubuhi Askofu Kitima amewaambia maovu yenu mkajidai mnashughulikia Corona, sijui sasa imeisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujiepushe na hawa watu ni hatari kwa usalama wa nchi yetu,wanachojali wao ni kuwasambaratisha CDM.