Nini kimewasibu chama kikuu cha upinzani Tanzania?

Asubuhi Askofu Kitima amewaambia maovu yenu mkajidai mnashughulikia Corona, sijui sasa imeisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM imejitahidi sana kukusanya watu na kufanya kampeni kujiandaa na uchaguzi mkuu wa 2020 bila kujali uwepo wa Corona.
Tujiepushe na hawa watu ni hatari kwa usalama wa nchi yetu,wanachojali wao ni kuwasambaratisha CDM.
 
Waambie hao wanaofanya kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya wakati, licha ya Corona wao bado wanahamasisha mikutano ya hadhara.Waambiwe live bila kuwahusisha vyama ambavyo vimetii amri ya serikali.
 
Jana kuna mwanaccm alipost hiyo habari akiambatanisha na picha mahali nikauliza swali ambalo mpaka sasa sijajibiwa. Kwenye hiyo picha kulikuwa na kadi za wanaoitwa wanachadema waliounga mkono juhudi, ajabu kadi zote zilikuwa na hali mfanano yaani zote zilikuwa mpya. Swali je watu wote hao zaidi ya 50 walikuwa wanatunzia sehemu moja kadi zao, au je wote walikata kadi siku moja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli mnazidi kushangaza na kuanza kutia huruma. Hivi hayo makelele kama mafarisayo vyatoka WAPI? Sasa HIVI Lumumba nzima uongozi, wahamiaji ,wasio na vyeti, bk 7, etc mnashindana kuweweseka ambayo ni kiashiria cha kutokujiamini. Hata Jiwe siku hizi anashinda UANI kwake anagalagala juu ya mawe. Waganga njaa watakuja wengi tu. Lakini mvuto wa kweli mnajua mliishapoteza. Viwanda elfu nne viko wapi? Million 50 kila Kijiji, laptop kwa kila mwalimu nchini mlivyoahidi viko wapi? Wananchi wanadai malipo ya korosho, Hawana barabara na madaraja imara. Mwaogopa sana TUME HURU mwataka yenu ya makada na TISCCM. Kelele zenu ni za mwoga
 
Corona imewalewesha wanatokwa na makamasi kila wakati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajibu lao fupi awataki kujichosha wanasema 'LIABILITIES" hao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…