Nini kina sababisha siku za hedhi kupitiliza kama huna mimba?

Ni mara ya kwanza inatokea........
Sijawahi tumia hayo mavitu mamii tokea kujitambua kwangu.

Hayo mavitu nayaogopa ile mbaya

mi mwenyewe nayaogopa hasa,sijawahi kutumia kabisa

Ila I hope utapata useful help kutokwa kwa wadau
 
Basi wala usijali ni hali ya kawaida tu ya mwili na mabadiliko ya hormones

Kama una waswasi zaidi unaweza kwenda hospital kwa ushauri zaidi
Asante mamii.......

Huwa niki bleed km tarehe 5 mwez huu bas mwez ujao waweza kuwa tarehe hyo hyo au ikarud nyuma siku moja o 2.

Hapana mazingira sijabadilisha na pia hakuna doz natumia mamaa.
 
Pole miss strong,Umesema hali hii imetokea mara ya kwanza kwako kwahio sidhani kama unasababu ya kuhofia..Ila ikiendelea kujitokeza nakushauri ukamuona daktari wa wanawake(gynocologyist)
Hali uliyokuwa nayo inaweza kusababishwa na vitu tofauti:
  • Hormonal imbalance ambayo inawakuta sana wamama watu wazima wanaokaribia post menopause..hali hii husababisha siku zipotee ikisha zinarudi ghalfa.
  • Sababu nyingine ni ABNORMAL THICKENING OF UTERUS LINING hali hii pia inaweza kusababishwa na hormal imbalance mfano kwasababu ya kutumia njia tofauti za uzazi wa mpango
  • POLYPS/FIBROIDS pia zinaweza kusababisha irregular mensturation
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mamie... Ngoja tuwaite MaDr waje....

Wapi Dr. Riwa, MziziMkavu, mimi49 na mummy measkron....

Horseshoe Arch na gfsonwin wameshajibu kwa ufasaha..si kitu cha kutia wasi wasi especially ni mara ya kwanza imetokea. Ikijirudia rudia utahitaji umuone daktari. Mambo mengi yaweza fanya mzunguko wa mwezi usiwe mtulivu including kubadili mazingira, hali ya kisaikolojia, mabadiliko ya ghafla ya hormones etc. Subiri uone kama itajirudia tena hali hiyo kwa mwezi ujao, otherwise you dont have to worry!
 
Nashukuru Dr Riwa kwa ushaur
 
Last edited by a moderator:
Pole miss strong,Umesema hali hii imetokea mara ya kwanza kwako kwahio sidhani kama unasababu ya kuhofia..Ila ikiendelea kujitokeza nakushauri ukamuona daktari wa wanawake(gynocologyist)
Hali uliyokuwa nayo inaweza kusababishwa na vitu tofauti:
  • Hormonal imbalance ambayo inawakuta sana wamama watu wazima wanaokaribia post menopause..hali hii husababisha siku zipotee ikisha zinarudi ghalfa.
  • Sababu nyingine ni ABNORMAL THICKENING OF UTERUS LINING hali hii pia inaweza kusababishwa na hormal imbalance mfano kwasababu ya kutumia njia tofauti za uzazi wa mpango
  • POLYPS/FIBROIDS pia zinaweza kusababisha irregular mensturation

Nashukuru mpenzi kwa ushaur......menopause bdo lakin teh teh
 
Last edited by a moderator:
Horseshoe Arch na gfsonwin wameshajibu kwa ufasaha..si kitu cha kutia wasi wasi especially ni mara ya kwanza imetokea. Ikijirudia rudia utahitaji umuone daktari. Mambo mengi yaweza fanya mzunguko wa mwezi usiwe mtulivu including kubadili mazingira, hali ya kisaikolojia, mabadiliko ya ghafla ya hormones etc. Subiri uone kama itajirudia tena hali hiyo kwa mwezi ujao, otherwise you dont have to worry!

Mkuu umenena vyema kabisa, charminglady mwanangu mwenzangu Riwa
 
Last edited by a moderator:
Habar wana Jf.........
Tarehe 21 ya mwez uliopita nilimaliza hedhi yangu lakin kinachonishangaza jana tarehe 6 nmeanza kupata siku zangu.
Naombeni ushaur wenu jaman maana haijawahi tokea hali hii!!!!!!

Je kufululiza kunywa ulabu inaweza ikawa sababu???
Naomben ushaur wenu
Heaven on Earth, DEMBA, Madame B, Chocs, Karucee, mimi49, Smile, atug, charminglady, ladydoctor, Kongosho, Mamndenyi na wana jf kwa ujumla!!!!

Mi nikushauri ukafanyiwe maombi tu dada yangu, ikiwezekana upate uponyaji wa kiroho. Kwani kuvuja sana kwa papuchi yako sio poa.
 
Last edited by a moderator:
Mi nikushauri ukafanyiwe maombi tu dada yangu, ikiwezekana upate uponyaji wa kiroho. Kwani kuvuja sana kwa papuchi yako sio poa.

Kuna sehemu nimesema kuvuja sana au imerudia?Hata hivyo asante maana maombi ni taa
 
Mi nikushauri ukafanyiwe maombi tu dada yangu, ikiwezekana upate uponyaji wa kiroho. Kwani kuvuja sana kwa papuchi yako sio poa.

ukiskia gear ya kunyata nyata ndo hii hapa.

Hawa ndo wenye kukuwekea mikono sehemu zisizohusika wakijidai maombi. Tumekustukia. Kalaleeeeeee
 
Wakuu;
Heshima mbele.. Naomba kumuuliza anayefahamu.. Ni kawaida kwa binti kupitiliza siku zake (menstrual cycle) mpaka siku 10+.. Kwa mtu ambae ofcoz siku hubadilika kwa +5 au +4.. ??

Au yaweza kuwa dalili ya mimba?? Lakini a girl is normal healthwise..

NB: Naomba ujikite zaidi kwenye kujibu swali husika.. Kama huwezi basi ni busara zaidi ukasoma na kupita tu au kuweka like/dislike..

Karibuni wajuvi wa mambo!
 
Back
Top Bottom