Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Ni mara ya kwanza inatokea........
Sijawahi tumia hayo mavitu mamii tokea kujitambua kwangu.
Hayo mavitu nayaogopa ile mbaya
mi mwenyewe nayaogopa hasa,sijawahi kutumia kabisa
Ila I hope utapata useful help kutokwa kwa wadau
I hop 2 mamito.......maana ni hatar!!Sasa hata appointment inaweza ikafa ghafla
Asante mamii.......
Huwa niki bleed km tarehe 5 mwez huu bas mwez ujao waweza kuwa tarehe hyo hyo au ikarud nyuma siku moja o 2.
Hapana mazingira sijabadilisha na pia hakuna doz natumia mamaa.
hahaaaaaaaaaa kitu kinaanza bila taarifa lol
Basi wala usijali ni hali ya kawaida tu ya mwili na mabadiliko ya hormones
Kama una waswasi zaidi unaweza kwenda hospital kwa ushauri zaidi
Pole sana mamie... Ngoja tuwaite MaDr waje....
Wapi Dr. Riwa, MziziMkavu, mimi49 na mummy measkron....
Horseshoe Arch na gfsonwin wameshajibu kwa ufasaha..si kitu cha kutia wasi wasi especially ni mara ya kwanza imetokea. Ikijirudia rudia utahitaji umuone daktari. Mambo mengi yaweza fanya mzunguko wa mwezi usiwe mtulivu including kubadili mazingira, hali ya kisaikolojia, mabadiliko ya ghafla ya hormones etc. Subiri uone kama itajirudia tena hali hiyo kwa mwezi ujao, otherwise you dont have to worry!
Pole miss strong,Umesema hali hii imetokea mara ya kwanza kwako kwahio sidhani kama unasababu ya kuhofia..Ila ikiendelea kujitokeza nakushauri ukamuona daktari wa wanawake(gynocologyist)
Hali uliyokuwa nayo inaweza kusababishwa na vitu tofauti:
- Hormonal imbalance ambayo inawakuta sana wamama watu wazima wanaokaribia post menopause..hali hii husababisha siku zipotee ikisha zinarudi ghalfa.
- Sababu nyingine ni ABNORMAL THICKENING OF UTERUS LINING hali hii pia inaweza kusababishwa na hormal imbalance mfano kwasababu ya kutumia njia tofauti za uzazi wa mpango
- POLYPS/FIBROIDS pia zinaweza kusababisha irregular mensturation
Karibu tena bestitoNashukuru sana bi dada
Habar wana Jf.........
Tarehe 21 ya mwez uliopita nilimaliza hedhi yangu lakin kinachonishangaza jana tarehe 6 nmeanza kupata siku zangu.
Naombeni ushaur wenu jaman maana haijawahi tokea hali hii!!!!!!
Je kufululiza kunywa ulabu inaweza ikawa sababu???
Naomben ushaur wenu
Heaven on Earth, DEMBA, Madame B, Chocs, Karucee, mimi49, Smile, atug, charminglady, ladydoctor, Kongosho, Mamndenyi na wana jf kwa ujumla!!!!
Horseshoe Arch na gfsonwin wameshajibu kwa ufasaha..si kitu cha kutia wasi wasi especially ni mara ya kwanza imetokea. Ikijirudia rudia utahitaji umuone daktari. Mambo mengi yaweza fanya mzunguko wa mwezi usiwe mtulivu including kubadili mazingira, hali ya kisaikolojia, mabadiliko ya ghafla ya hormones etc. Subiri uone kama itajirudia tena hali hiyo kwa mwezi ujao, otherwise you dont have to worry!
ukifululiza u.b.o.o
Habar wana Jf.........
Tarehe 21 ya mwez uliopita nilimaliza hedhi yangu lakin kinachonishangaza jana tarehe 6 nmeanza kupata siku zangu.
Naombeni ushaur wenu jaman maana haijawahi tokea hali hii!!!!!!
Je kufululiza kunywa ulabu inaweza ikawa sababu???
Naomben ushaur wenu
Heaven on Earth, DEMBA, Madame B, Chocs, Karucee, mimi49, Smile, atug, charminglady, ladydoctor, Kongosho, Mamndenyi na wana jf kwa ujumla!!!!
Mi nikushauri ukafanyiwe maombi tu dada yangu, ikiwezekana upate uponyaji wa kiroho. Kwani kuvuja sana kwa papuchi yako sio poa.
Mi nikushauri ukafanyiwe maombi tu dada yangu, ikiwezekana upate uponyaji wa kiroho. Kwani kuvuja sana kwa papuchi yako sio poa.