Lyandembela1
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 277
- 113
Wanavyosema Ma-Daktari ni ukweli ila kama unampenda mvumilie kula jiwe jifanye kama hakujatokea kitu atakuficha lakini ipo siku atakuambia ukweli wa mambo.Heshima mbele wakuu,
Nahisi naongopewa hapa jamani nitoeni hofu,
Hajapata siku zake tangu Jan 2014 mpaka March 22, na ametokwa na damu nyingi mpaka imepelekea damu yake kupungua mpaka kipimo cha 6. Wanasema ana damu 6 badala ya 12 ambayo ni sahihi kuwa nayo.
Anasikia kizunguzungu, Presha ya kushuka n.k
Madaktari walihisi katoa mimba (abortion)
Naomba ufafanuzi juu ya swala hili, nimekosa uaminifu juu yake, na anaishi mbali na mimi.
watu8 MziziMkavu Mamdenyi EvelynSalt King'asti
uamuzi
aliofanya ni mzuri wa kuachana na sindano itachukua muda baadaye
mzunguko wake utarudi kama kawaida,maana side effects za dawa za uzazi
wa mpaka inachukua siku,miezi au miaka hata kuupa mwili kurudi hali ya
kawaida...." anaweza kutumia condom kwa wakati huu ambapo mzunguko bado
unabadilika badilika....Nanyi mtaifahamu kweli nayo kweli itawaweka
huru'
hata utafiti anajua jamani
gorgeousmimi pita hapa tafadhali na MziziMkavu pia mleta mada alikuitaNatarijia mengi toka kwake pia!
utafiti kwani umeshindwa.....!!!gorgeousmimi pita hapa tafadhali na MziziMkavu pia mleta mada alikuita
Achana na kutumia Vidonge vya Majira tumia dawa yangu hii itamsaidiaNdg wanajamvi habari
Kwanza niwape pole kwa mapambano mnayoendelea nayo katika kuhakikisha mnatimiza ndoto za maisha bora kwa kila mtanzania najua ni safari ndefu lakini ishallah tutafika.
Wanajamvi, nina mke ambaye tumebahatika kupata mtoto. Kabla ya kupata mtoto mpenzi huyu alikuwa na mzunguko wa kawaida tu katika hedhi kwa kila mwezi lakini mara baada ya kupata mtoto pamekuwa na mabadiliko katika hedhi zake, wakati mwingine tarehe zinazidi au kupungua kutoka kwenye tarehe ya makadirio.
Kilichonistua ni kuwa siku 2 baada ya kuwa amemaliza hedhi pametokea mabadiliko na kuanza tena kutoka damu tena kwa wingi zaidi kuliko kawaidia hii ilinistua nikalazimika leo kumpeleka hospital, doctor akasema ni hali ya kawaida kuona mabadiliko haya hasa mwanamke anapokuwa amejifungua ILA kilichonistua zaidi ni pale alipotoa ushauri wa kitabibu kuwa ili kurudisha hedhi katika mzunguko wake wa kawaida basi mke wangu aanze kutumia vidonge vya MAJIRA kwa siku 7 mfululizo halafu aache
Nimekua nikifahamu kuwa vidonge hivi ni kwa ajili ya uzazi wa mpango sasa Doctor aliponiambia mke atumie vidonge hivi ameniacha njia panda.
Tafadhali Mzizi mkavu najua una uelewa mkubwa, pamoja na wengine naombeni ufafanuzi katika katika hili
Vipi mkuu utafiti hujambogorgeousmimi pita hapa tafadhali na MziziMkavu pia mleta mada alikuita
Achana na kutumia Vidonge vya Majira tumia dawa yangu hii itamsaidia
TIBA YA HEDHI INAYOTOKA KWA WINGI ZAIDI YA ADA: Kanuni ya kwanza: Chukua kijiko kimoja cha maua ya Babunaji (Chamomile) ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto. Yakishapoa, unywe kikombe kimoja kutwa mara tatu kabla ya kula.
Kanuni ya pili: Chukua zaatar kijiko kimoja kikubwa cha chakula ukoroge ndani ya kikombe kimoja cha maji ya moto. Kunywa kikombe cha chai kutwa mara tatu.
Vipi mkuu utafiti hujambo
Ndg wanajamvi habari

Pole sana mkuu MNYOO JOGOO,naomba unisaidie majibu ya maswali yafuatayo ili nijue cha kukushauri,
1. mkeo amejifungua lini? na ilimchukua muda gani kuanza tena hedhi?
2. Ana maumivu yoyote ya tumbo au homa?
nikutoe hofu tu kwamba vidonge vya uzazi wa mpango/majira vinaweza kutumika kurekebisha mzunguko wa hedhi,mpe pole bibie na hongera kwa kupata mtoto!