Nyakwaratony
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 573
- 140
Ni muhimu kufahamu tatizo hili limekuwa la muda gani, na mp yako inachukua siku ngapi kuisha, wewe una umri gani, huwa unapata siku zako kila mwezi au la? Mambo mengine ni ya uchunguzi zaidi kwenye njia yako ya uzazi.Hivyo kwa ufupi nakushauri uonane na gynacologist.
mp yangu inachukua siku 3 ya 4 inaruka na kumalizikia ya 5. umri wangu ni kati ya 25-29. huwa napata siku kila mwezi. niimwona gyno ndio akanipa hvo vidonge tajwa hapo juu lakn tatizo bado halijaisha
HABARI ZA MCHANA JF DOCTOR
Mwenzenu nina tatizo moja, nikiingia mp huwa napata damu nyingi sana. naweza kubadili pedi mara 3 kutwa halafu huwa zimelowana chapachapa. lakini huwa siumwi tumbo wala kiuno. last year nilikwenda kufanya check up muhimbili, nikaambiwa kuwa nina tatizo la hormonal imbalance, nilipewa vidonge ambavyo nilimeza for 3months, kiukweli ndani ya huo muda nilipata nafuu ila baada ya dawa kuisha hali ile ilirudi. je kuna tiba mbadala? kwani hii hali inanibore sana. asanteni sana
unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?
asante kwa ushauri.Ok,unfortunately mambo mengine hayawezi kuulizwa kwenye mtandao kutokana na ethics! Ushauri wangu ni kurudi tena kwa gyna kwani kwa kawaida unaweza kuwa ulipewa matibabu hayo ya mwanzo na kwa kuwa hayajasaidia ni vizuri kurudi tena na yeye atajua cha kufanya (kama vile kufanya uchunguzi zaidi wa njia yako ya uzazi n.k). Kama unatumia njia nyingine za contraception kama 'secretary' alivyotaka kufahamu (IUD?) ni vizuri ukamueleza daktari.
HoneyBee ngoja nikufafanulie niliweka pedi sa 1 asubuhî, kufika sa 4 nikawa nimelowa chapachapa nikabadili. kufika sa 8 mchana tena chapachapa nikabadili hapo nikakaa mpka sa 2 usiku. umenielewa?
Mkuu charminglady swali lake muulizaji ameshajibiwa na mkuu.@hippocratessocrateswapi Riwa na MziziMkavu? kujeni pande hizi tafwadhali. . . .
Mkuu charminglady swali lake muulizaji ameshajibiwa na mkuu.@hippocratessocrates
hippocratessocrates
naomba unifafanulie kipengele cha mwisho sijakuelewa kabisa. asante
Kupiliza kwa hedhi katika hali ya kawaida inaweza kusababishwa na huu mfumo wa vichocheo kubadilika.
Mabadilko haya huweza sababishwa na msongo wa mawazo.
Hata hivyo fertization huweza kutokea kama kawaida lakini implantation ikashindika kutokana na sababu kadhaa, mfano matayarisho hafifu ya mji wa mimba(uterus)ambayo pia huweza sababishwa na irritation ktk uterus na baadhi ya contraceptives au infection au upungufu wa vichocheo kwa ajili maintenance ya embryo katika uterus.Yaani ni kama kuna kani mbili ya kwanza inayoifanya embryo ibaki katika uterus na ya pili ni ile inayoing'oa.Kani hizi ni matokeo ya vichocheo.
Sasa kama kani ya pili imezidi basi inatokea spontaneous abortion na embryo huweza kutoka pamoja na damu na hivyo mhusika asigundue kama alishika mimba na imetoka ,lakini anafikiri kuwa hedhi imechelewa
umetemmbea na mume wa mtu???????????????????