Nivea
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 7,460
- 4,761
hahaaahahahahah shost wangu hujambo ni moja ya diagnosisi na troubleshooting za kwanzaAhahahahahahh, nivea bhana lol!
Mwaya nenda kamuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama hope utasidika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaahahahahah shost wangu hujambo ni moja ya diagnosisi na troubleshooting za kwanzaAhahahahahahh, nivea bhana lol!
Mwaya nenda kamuone daktari bingwa wa magonjwa ya akina mama hope utasidika
umetemmbea na mume wa mtu???????????????????
mume /mke wa mtu sumuuuuu kaka wadad wengi wameekufa mtindo huo nilishuudia hapo kigamboni dada huyo alivuja damu akawa kama karatasi kwenye upepo kisa mume wa mtu watch your step lady ni moja ya troubleshooting other wise aende hospitaliniliwahi kusikia kitu kama hiki pale Arusha mpaka yule mdada akafa kwa mateso makubwa sana.
''jamani mimi ni msichana mwenye umri wa miaka ishirini na saba, tokea wiki iliyopita, nimepatwa na hili tatizo japo awali ilikuwa siku nne au tatu sasa naona zimezidi, kwa anayejua tiba, ushauri, nisaidieni wakuu ili shemeji yenu apate huduma''
umetemmbea na mume wa mtu???????????????????
mh, umetumia family planning drugs? Anyway nenda hospitali ukapate ufumbuzi
mh, umetumia family planning drugs? Anyway nenda hospitali ukapate ufumbuzi
niliwahi kusikia kitu kama hiki pale arusha mpaka yule mdada akafa kwa mateso makubwa sana.
pole kwa mvujo
nenda hospital