Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

aisee kumbe Arusha bado sana yaani kumbe stand ipo mjini!!!!

 serikali kama vile imewasahau flani hivi,jiji la tatu kwa ukubwa halafu kweli ikosekane stand ya mabus tu!!!
ni kama vile kwa Mwanza jiji la pili ila hakuna airport iliyokidhi international standard
vitu kama hivi ni aibu kwa serikali ya ccm
 
Kinachokwamisha ujenzi wa stand huko ni ujinga wa watu wa arusha na ulimbukileni wa kujifanya wajanja na wajuaji kumbe wanaupumbavu mwingi.
Hebu sema ujinga wa watu wa Arusha ni upi?

Kinachokwamisha ni kuwakuwa watu wa kanda ya kaskazini wanajitambua hivyo serikali ya CCM kwakuwa inapenda wajinga na kuchukia wanaojitambua basi inafanya kukomoa.

Ila sisi hatujali. Miundombinu ni muhimu lakini pia quality of life na uwezo wa mtu mmoja mmoja (per Capita Income) ndio unapima maendeleo.

Ndio maana mikoa mingine japo wana ma stand na mamiundombinu mazuri lakini bado ni maskini.

Chagua mwenyewe. Kanda ya kaskazini ina watu wenye kujitambua.
 
wana ujuaji wa kipumbavu sana na siasa za kifitina sana..

Angalia tu kuwa diwani tu arusha ni shida ukiwa mbunge ndio balaa kabisa fitina fitina tu.
kuna mambo wanafanya kukomoana pasipo kujua wanajirudisha nyuma kwa vitu vingi sana.
Eti Mtumishi mwenzangu Pep ,
Nasikia mko na upumbavu mwingi huko Atown😂😂😂😂
 
Sasa hadi serikali kutoa eneo na waziri wa ardhi wakati ule, mh Lukuvi akaja na kamati ya bunge ya miundombinu wakafika ilipo hii ya sasa na safari ya kwenda kule VETA karibu na kijiji cha Laroi ambako waliangalia.

Alafu unakuja na stori ya ubishi wa wananchi kupinga mmh sijaelewa hapo!.

Karibu mikoa yote walipoamishia vituo vipya upinzani ulikwepo hadi raia walisema kule mbali hatutaenda, mwishoe nini kinachoendelea?.
Ona bado unaendelea kubisha hadi hapa..

ndio maana mmekuwa mkoa mkubwa wa mwisho kupata stand na mpaka stand iishe ni 2030 na msipojirekebisha simiyu itawapita kama mmesimama..
 
Ona bado unaendelea kubisha hadi hapa..
...
Ndg raia mwema, mbona unanipakazia kwamba nabisha, unaniquote vibaya, mimi nakupa evidence za ukweli kutoka mikoa mingine na ilivyokuwa hapo nyuma wkt mpango kazi wa ujenzi ulivyokuwa unaanza Arusha!.
 
Mbeya ile ya nanenane nayo unaita stand

vijana mliozamia dar es salaam kwa kuitwa na ndugu zenu likizo baada ya kumaliza form four na la saba. We kwenu ni wap tupafanyie tathmini then turinganishe na mbeya! Au ni mzaramo wa dar?
 
Hapa ni bongo au south africa?
Hapo ni katikati ya jiji letu la Geneva of Africa mkuu, kama panafanana na South Africa basi tunaitaka serikali ibariki mgao wa jiji hili ili next year uulize swali tofauti na hili la leo!.
 
Mbeya ile ya nanenane nayo unaita stand
Ile ni nzuri kuliko hii...
IMG_20230316_231246.jpg
 
Nidokeze kidogo nini kikuchekeshacho kama huwezi kujibu hapa ni PM!.
Hapana Mkuu, Nothing is serious
Ni katika matani tu na mtu wa huko,,
Anaipondea Mbeya,anadai huko ni Geneva of Africa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi pia naiponda Arusha huku naipaisha Mbeya.
 
Hapana Mkuu,
Ni katika matani tu na mtu wa huko,,
Anaipondea Mbeya,anadai huko ni Geneva of Africa😂😂😂
Mimi pia naiponda Arusha huku naipaisha Mbeya.
Mikoa yote hiyo miwili nina experience nayo na kila mkoa una radha yake kulingana na makabila yaliyopo.

So Arusha haiwezi kulingana na Mbeya vilevile Mbeya haiwezi kulingana na Arusha hii inatokana na maisha yaliyopo eneo husika.

Mfano; Mbeya chakula ni cha kutosha as mchele, mahindi, ndizi, viazi chips nk na mbeya mtu anaweza kukujaalia mkungu wa ndizi au debe la mchele ukale na jirani zako kitu ambacho Arusha huo ujinga hamna.

Arusha life ni jiwe, unaweza kukuta mgomba umeanguka na mkungu wake hadi ndizi zinaivia pale zilipodondoka na hupewi, (sijakuleta mjini mimi) yaani arusha inasimama na ile amri ya "ASIYE FANYA KAZI NA ASILE"
 
wa kwanza huyu hapa kajitambulisha mwenyewe kupenda mtelezo

Kama hujui kutafuta pesa usikanyage arusha
 
wa kwanza huyu hapa kajitambulisha mwenyewe kupenda mtelezo

Kama hujui kutafuta pesa usikanyage arusha
Yaani wewe ni kama mtoto, akimkuta mwenzake njiani kaweka kitu mdomoni anamuangalia kisha anamuomba ili naye apewe hajui km mwenzake anakula au anafanya nini mdomoni!.

Kabla hujareply angalia hiyo reply imeanzia wapi na inajitegemea au inamjibu mtu!.

Then weka yakwako, ukikurupuka unakuwa sawa na kale katoto nilikokaeleza hapo juu!.
 
Mikoa yote hiyo miwili nina experience nayo na kila mkoa una radha yake kulingana na makabila yaliyopo.

So Arusha haiwezi kulingana na Mbeya vilevile Mbeya haiwezi kulingana na Arusha hii inatokana na maisha yaliyopo eneo husika.

Mfano; Mbeya chakula ni cha kutosha as mchele, mahindi, ndizi, viazi chips nk na mbeya mtu anaweza kukujaalia mkungu wa ndizi au debe la mchele ukale na jirani zako kitu ambacho Arusha huo ujinga hamna.

Arusha life ni jiwe, unaweza kukuta mgomba umeanguka na mkungu wake hadi ndizi zinaivia pale zilipodondoka na hupewi, (sijakuleta mjini mimi) yaani arusha inasimama na ile amri ya "ASIYE FANYA KAZI NA ASILE"
Mkoa umejaa wachoyo na walafi🤣🤣🤣
Ndo maana majambazi wengi
.....

Mbeya pamoja na sifa zoote,ila mipango mji ni zero
 
Kote huko hakuna mipango miji hakuna cha Arusha wala Mbeya binti yangu Saint Anne

Mbeya kidoogo kuna mitaa hata pembeni kidogo ya mji mf. kwa mama John, kule Veta jirani na mkuu wa majeshi mstaafu mitaa inaeleweka nani pembeni ya jiji.

Njoo arusha sasa, mfano ukitoka city center kidogo tu ukaingia mitaa ya ndani as mianzini ni bado mjini ila hakuna barabara za mitaa, maeneo mengi ni maboma watu wanagawana na kuacha vijinjia, single way.

Kidooogo njiro ndipo wakala wa kuboresha mji aliwahi kupanga, huyo kidogo anaonekana alikuwa muadilifu.

Issue ya uchoyo na ujambazi ahahahaa hapo nakaa kimya aseee!.
 
Back
Top Bottom