Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Nini kinachokwamisha utekelezaji wa ujenzi wa kituo kikuu cha mabasi jiji la Arusha?

Gambo akiwa mkuu wa mkoa na baadhi ya viongozi wenzake walitaka ijengwe eneo walilohodhi aridhi kubwa ili walipwe fidia, serikali wakati wa mh. Lukuvi ikashtuka.
Aisee
Sasa wamefikia wapi?
Mikoa karibu yote stand zimejengwa.
Mtabaki Arusha tu😂
 
Hebu sema ujinga wa watu wa Arusha ni upi?

Kinachokwamisha ni kuwakuwa watu wa kanda ya kaskazini wanajitambua hivyo serikali ya CCM kwakuwa inapenda wajinga na kuchukia wanaojitambua basi inafanya kukomoa.

Ila sisi hatujali. Miundombinu ni muhimu lakini pia quality of life na uwezo wa mtu mmoja mmoja (per Capita Income) ndio unapima maendeleo.

Ndio maana mikoa mingine japo wana ma stand na mamiundombinu mazuri lakini bado ni maskini.

Chagua mwenyewe. Kanda ya kaskazini ina watu wenye kujitambua.
Kajambe mbele
 
Aisee
Sasa wamefikia wapi?
Mikoa karibu yote stand zimejengwa.
Mtabaki Arusha tu😂
Fungu la ujenzi liliamishwa hadi hapo viongozi wa mkoa wakiwemo madiwani uchwara watakaposema imetosha ijengwe kule serikali ilipoamua.

Bahati mbaya sana hawakujua kipindi kile wanaweka ubishi kwa mtu aliyekuwa na usongo wa pesa, legendary JPM so mzee baba akahamishia mkoa mwingine.

Huyu RC wa sasa mzee Mongella vile hana nguvu but angeweza mshawishi Mama President amwage mpunga, maana mkoa kitalii huu upo kiuchafu uchafu tu.
 
Stendi inajengwa mwezi wa saba mwaka huu kwenye mradi wa Tactic🙏🙏
 
Habari bila picha hainogi
 
Back
Top Bottom