wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
aisee kumbe Arusha bado sana yaani kumbe stand ipo mjini!!!!
Hebu sema ujinga wa watu wa Arusha ni upi?Kinachokwamisha ujenzi wa stand huko ni ujinga wa watu wa arusha na ulimbukileni wa kujifanya wajanja na wajuaji kumbe wanaupumbavu mwingi.
Eti Mtumishi mwenzangu Pep ,wana ujuaji wa kipumbavu sana na siasa za kifitina sana..
Angalia tu kuwa diwani tu arusha ni shida ukiwa mbunge ndio balaa kabisa fitina fitina tu.
kuna mambo wanafanya kukomoana pasipo kujua wanajirudisha nyuma kwa vitu vingi sana.
Ona bado unaendelea kubisha hadi hapa..Sasa hadi serikali kutoa eneo na waziri wa ardhi wakati ule, mh Lukuvi akaja na kamati ya bunge ya miundombinu wakafika ilipo hii ya sasa na safari ya kwenda kule VETA karibu na kijiji cha Laroi ambako waliangalia.
Alafu unakuja na stori ya ubishi wa wananchi kupinga mmh sijaelewa hapo!.
Karibu mikoa yote walipoamishia vituo vipya upinzani ulikwepo hadi raia walisema kule mbali hatutaenda, mwishoe nini kinachoendelea?.
Aisee!!!!Ndiyo hiyo hiyo mkuu na hakuna nyingine, now tunataka ijengwe mpya.
Watu wa chuga mmecharuka😂Hebu eleza vizuri, ujanja wa watu wa chuga na ujenzi wa stand kuchelewa unahusianaje hapo??
Ndg raia mwema, mbona unanipakazia kwamba nabisha, unaniquote vibaya, mimi nakupa evidence za ukweli kutoka mikoa mingine na ilivyokuwa hapo nyuma wkt mpango kazi wa ujenzi ulivyokuwa unaanza Arusha!.Ona bado unaendelea kubisha hadi hapa..
...
Mbeya ile ya nanenane nayo unaita stand
Bongo, unless Mtei express liwe linaenda SAHapa ni bongo au south africa?
Hapana Mkuu, Nothing is seriousNidokeze kidogo nini kikuchekeshacho kama huwezi kujibu hapa ni PM!.
Mikoa yote hiyo miwili nina experience nayo na kila mkoa una radha yake kulingana na makabila yaliyopo.Hapana Mkuu,
Ni katika matani tu na mtu wa huko,,
Anaipondea Mbeya,anadai huko ni Geneva of Africa😂😂😂
Mimi pia naiponda Arusha huku naipaisha Mbeya.
wa kwanza huyu hapa kajitambulisha mwenyewe kupenda mtelezoMikoa yote hiyo miwili nina experience nayo na kila mkoa una radha yake kulingana na makabila yaliyopo.
So Arusha haiwezi kulingana na Mbeya vilevile Mbeya haiwezi kulingana na Arusha hii inatokana na maisha yaliyopo eneo husika.
Mfano; Mbeya chakula ni cha kutosha as mchele, mahindi, ndizi, viazi chips nk na mbeya mtu anaweza kukujaalia mkungu wa ndizi au debe la mchele ukale na jirani zako kitu ambacho Arusha huo ujinga hamna.
Arusha life ni jiwe, unaweza kukuta mgomba umeanguka na mkungu wake hadi ndizi zinaivia pale zilipodondoka na hupewi, (sijakuleta mjini mimi) yaani arusha inasimama na ile amri ya "ASIYE FANYA KAZI NA ASILE"
Yaani wewe ni kama mtoto, akimkuta mwenzake njiani kaweka kitu mdomoni anamuangalia kisha anamuomba ili naye apewe hajui km mwenzake anakula au anafanya nini mdomoni!.wa kwanza huyu hapa kajitambulisha mwenyewe kupenda mtelezo
Kama hujui kutafuta pesa usikanyage arusha
Mkoa umejaa wachoyo na walafi🤣🤣🤣Mikoa yote hiyo miwili nina experience nayo na kila mkoa una radha yake kulingana na makabila yaliyopo.
So Arusha haiwezi kulingana na Mbeya vilevile Mbeya haiwezi kulingana na Arusha hii inatokana na maisha yaliyopo eneo husika.
Mfano; Mbeya chakula ni cha kutosha as mchele, mahindi, ndizi, viazi chips nk na mbeya mtu anaweza kukujaalia mkungu wa ndizi au debe la mchele ukale na jirani zako kitu ambacho Arusha huo ujinga hamna.
Arusha life ni jiwe, unaweza kukuta mgomba umeanguka na mkungu wake hadi ndizi zinaivia pale zilipodondoka na hupewi, (sijakuleta mjini mimi) yaani arusha inasimama na ile amri ya "ASIYE FANYA KAZI NA ASILE"